Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

Anae faa kuwa raisi wa nchi kwa sasa ni profesor lipumba tu,vigezo anavyo na kutokana na uchumi wa nchi ulivyo kwa sasa,na deni la taifa lilivyopanda tunahitaji mchumi kurekebisha hali hii haraka iwezekanazo
 
Mwanachama yeyote kutoka CCM!!! Atakayepitishwa na vikao halali.
 
Pamoja na makundi ya CCM kumwandama LOWASA anastahili kugombea Uraisi 2015

Hivi taifa halina kingine cha kupogelea zaidi ya uraisi, why don't we discuss the system within which they will be operating? Kila siku Lowasa Lowasa, sijui analipa watu ili wamzungumzie?
 
anaefaa urais 2015 ni prof. tibaijuka tu. tuache kulaghai watanzania. tunaitaji rais mchapakazi taifa halitaki makundi na uongozi wa kulazimisha km hao wanaotaka utawala. rais tumtakae watanzania ni prof. tibaijuka tu anafaa sn.
 
... Dk. John Pombe
MAGUFULI tangu mwaka 2000 akiwa
Naibu Waziri wa Ujenzi na katika
wizara mbalimbali, Watanzania
wamekuwa na imani kubwa na
uwajibikaji wake na kwamba
anastahili kupeperusha bendera ya
Chama cha Mapinduzi (CCM)
ifikapo mwaka 2015.

" Mbali na Dk. Magufuli, wengine
ndani ya CCM ni
pamoja na aliyekuwa Waziri Mkuu
ambaye pia ni Mbunge wa
Monduli, Edward Lowassa; Waziri
wa Ushirikiano wa Afrika
Mashariki, Samuel Sitta, Waziri wa
Uchukuzi, Dk. Harrison
Mwakyembe;...,"
 
Pamoja na makundi ya CCM kumwandama LOWASA anastahili kugombea Uraisi 2015
ww kijana, alieleta makundi ni lowasa km hujui weye. tanzania tunahitaji rais asiyekua na makundi km prof. tibaijuka na ndiye tumtakae tz awe kiongoz wetu watanzania. hao wanaongangania utawala wa urais hatuwataki
 
KATI YA HAWA WAFUATAO MMOJAWAPO AKIWA RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MOYO WANGU UTASUUZIKA SANA, NAAKIKA NDIO TEGEMEO KUBWA LA WATANZANIA TULIO WENGI.
A. Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka, wasifu wake ni
Ndiye mwafrika wa kwanza na aliyekuwa Director of UN HABITAT,
CHAIRPERSON OF THE INDEPENDENT TANZANIAN NATIONAL WOMEN’S COUNCIL (BAWATA),
Ndiye aliyehakikisha UN HABITAT wanapeleka maji visiwani Zanzibar,
Ndiye aliyesababisha wananchi wa Kagera kupewa fidia na UN HABITAT baada ya mazao yao ya migomba kukumbwa na ugonjwa wa mnyauko,
ktk wizara ya Ardhi katatua migogoro mingi ya wananchi ‘ Ardhi haina migogoro bali Wananchi ndio wenye migogoro’
Amelifufua shirika la TAIFA la Nyumba.
Tukumbuke ndiye Mtanzania aliyefanya kazi UN kwa zaidi ya miaka 17
Ni mama mjane, mchapakazi na mwenye uchungu na TAIFA lake.
Mbunge wa kuchaguliwa kutoka MULEBA KAGERA na WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAKAZI TANZANIA. Kwetu sisi vijana wasomi tunadiliki kufananisha wizara yake na FIGO ya Binadam.
.

B. Mh. Edward Ngoyai Lowasa, wasifu wake ni1. Mwasisi na msimamizi wa Ujenzi shule za Kata zilijegwa jumla ya shule 2000 ndani ya miezi 6 tu ni kasoma leo watoto wa masikini wapo University .-
Ujenzi wa Mradi mkubwa wa maji kutoka ziwa Victoria kwenda shinyanga, Tabora na Singida,-
Kuvunja mkataba wa City water services bila kuogopa wa kuhofia chochote.-
Kuzuia Uuzwaji wa shirika la Nyumba NHC,-
Kuwaachia UVCCM kitega uchumi cha Jengo la maana-
Alidhubutu kuchukua maamuzi magumu kwa masilai ya Tanzania na kulinda heshima ya CCM-
Kuwafukuza wakurugenzi na wafanyakazi wa dhaifu serikali bila kuogopa chochote-
Kuruhusu Bodaboda kuingia Nchini na kutengeneza Ajira za Kutosha kwa Vijana-
Kuheshimu kanuni na taratibu zote za CCM-
 
kati yao mmojawapo akiwa rais wa Tanzania moyo wangu utakuwa na Amani ya kudum
 
Mimi kwa mtazamo wangu ni hawa wawili tu Mh Bernard Membe au Mh Dr Hussein Ali hassan Mwinyi.

lakin kwa kuinusuru nchi yenu na matatizo mengi ya sasa na kulinda muungani Mh Dr Mwinyi ndiye anafaa zaidi. Na nina hakika huyu insh'Alllah atakuwa RAIS WENU.

Mwinyi si sawa na babake ;mabomu mbagala yamemchafua watu wengi wamekosa makazi mbona hajajiuzulu
 
WanaJF,

Amani kwenu wote.
Naomba tujiulize hilo swali hapo juu na kutafakari kwa kina. Kwa jinsi hali ya mambo ilivyo kuna uwezekano mkubwa kuwa JK ataendelea kuongoza mpaka 2015 pamoja na mapungufu makubwa katika uongozi wake.
Kwa hapa tulipofikia, tunaitaji taifa hili tuongozwe na msomi zaidi kama profesor. Hivyo basi naona prof. anna tibaijuka anafaa sana kutuondoa watanzania katika wimbi la umasikini. tumuunge mkono ndg.zangu prof.tibaijuka awe rais 2015
 
WanaJF,

Amani kwenu wote.
Naomba tujiulize hilo swali hapo juu na kutafakari kwa kina. Kwa jinsi hali ya mambo ilivyo kuna uwezekano mkubwa kuwa JK ataendelea kuongoza mpaka 2015 pamoja na mapungufu makubwa katika uongozi wake.
prof. anna tibaijuka anafaakabisa. tunaitaji kuongozwa na prof. ambae ni msomi zaidi ili kupambana na wimbi la umskini na wasomi zaidi nchini
 
Habari zenu wanajamvi. Eid fitr,
kwa mara ingine naomba tujadili yetu kwa mustakabali wa taifa hili kuwa nani anatufaa kuwa rais 2015 kati ya prof.anna tibaijuka, mh.bernad membe na mh.lowassa?
Kiufupi watanzania wengi wanasema msomi ni msomi tu. Anajua mambo mengi sana ukilinganisha na asiyesoma au mwenye elimu ndogo. Sasas kazi ni kwenu kuwa nani zaidi kati ya prof. Wa uchumu mwenye uwezo wa kutatua changamoto za umaskini, watoto wasio na malezi, ukusefu wa ajira, maendeleo kwa watanzania, n.k?
Hapa itabidi wanaotaka utawala wakujipatia umaarufu wawapishe viongozi wenye nia ya kuwatumikia wananchi.
Hapo ndipo tutakua na uongozi bora unaomjali mwananchi na tanzania yetu.
Nawakilisha NDG.ZANGU
 
Wote hawafai hata kidogo. Hatutaki rais fisadi kama lowassa au anayefuata upepo kama membe na Anna. Kiongozi lazima uwe na msimamo, ujasiri na vision. Viongozi dhaifu kama JK watatupeleka shimoni zaidi. Tunataka mtu wa kututoa katika shimo na hao uliowataja hawana uwezo huo.
 
Back
Top Bottom