Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

mimi bado naona wingu kubwa maana zamu hii ni ya mzanzibar Je? wazanzibar watakubaliana n hayo unayoyasema
 
WanaJF,

Amani kwenu wote.
Naomba tujiulize hilo swali hapo juu na kutafakari kwa kina. Kwa jinsi hali ya mambo ilivyo kuna uwezekano mkubwa kuwa JK ataendelea kuongoza mpaka 2015 pamoja na mapungufu makubwa katika uongozi wake.

Tafiti zilizofanywa na watanzania ni kuwa Tanzania na vijana wengi kwa sasa wanamuhitaji Rais msomi zaidi kama professor. Wengine walifikia hitimisho kuwa kwa sasa Watanzania wanamuhitaji Prof. Anna Tibaijuka aichukue nchi hii. anafaa ni mchapakazi, msomi mwenye uzoefu wa kimataifa.
 
Kuna watu kama hawa: Mwakyembe, Tibaijuka, Lowasa au Magufuli.

Zaidi ya hawa ni mtu gani tunafikiri anaweza kujitoa maisha yake kwaajili ya Watanzania?

Mwakyembe nusura apoteze maisha yake kwaajili ya Tanzania wote tumeshuhudia, nimeandika hivi kwasababu nimepita sehemu nikaona watu wanajadili ati nyanda za juu kusini hajawahi toka Rais na hatakuja atoke.

Binafsi watu kama kina Mwakyembe naona wameprove positive tu. (kwa wale wapenzi wenzangu wa magamba lakini).
 
kuna watu kama hawa; Mwakyembe, tibaijuka, Lowasa au magufuli. zaidi ya hawa ni mtu gani tunafikiri anaweza kujitoa maisha yake kwaajili ya watz? mwakyembe nusura apoteze maisha yake kwaajili ya tz wote tumeshuhudia. nimeandika hivi kwasababu nimepita sehemu nikaona watu wanajadili ati nyanda za juu kusini hajawahi toka rais na hatakuja atoke, binafsi watu kama kina mwakyembe naona wameprove positive tu. (kwa wale wapenzi wenzangu wa magamba lakini).
Mwakyembe nilikua namkubali,ila lilipokuja swala la katiba,tumemuona hafai,yaani huyo hatumtaki awe rais,Mimi nilikua simfagilii Lowasa,ila nishaanza kuona huyo atatufaa,Tibajuika hafai,hata UN walimtoa baru,Magufuli sijui sana akiwa rais atakuaje,maana kua rais na waziri ni vitu viwili tofauti
 
Narudia kusema hivi, akili za CCM wanazijua wao wenyewe tu, hakuna anayeweza kuwatabiria maana kuna msimu wanaonekana wa maana (japo baadhi yao hubaki kuwa hawana maana daima hata kwa familia zao) ila pia kuna msimu naweza kujiuliza hivi huyu nae zimo kweli? au uanweza sema hivi huyu mtu kichwa chake anakitumia kufanyia kazi gani???
 
Mwakyembe nilikua namkubali,ila lilipokuja swala la katiba,tumemuona hafai,yaani huyo hatumtaki awe rais,Mimi nilikua simfagilii Lowasa,ila nishaanza kuona huyo atatufaa,Tibajuika hafai,hata UN walimtoa baru,Magufuli sijui sana akiwa rais atakuaje,maana kua rais na waziri ni vitu viwili tofauti
mwakyembe anafaa, hata kama kwasasa hawezi kuwa na msimamo unaoutaka wewe lakini akiingia ikulu ata adjust, trust me, sema hawawezi hata siku moja kumpa hiyo post na anaweza asiwe na network ya kutosha kule dodoma ili ateuliwe kama alivyonayo lowasa. ila wakimpitisha kuna asilimia kubwa ya kushinda.
 
Tafiti zilizofanywa na watanzania ni kuwa Tanzania na vijana wengi kwa sasa wanamuhitaji Rais msomi zaidi kama professor. Wengine walifikia hitimisho kuwa kwa sasa Watanzania wanamuhitaji Prof. Anna Tibaijuka aichukue nchi hii. anafaa ni mchapakazi, msomi mwenye uzoefu wa kimataifa.

umefanya na utafiti kwa upande wa zaanzibar au utafiti wako hauvuki bahari? mimi ninachosema wazanzibar watakubali safari hii mgombea wa ccm asitoke zanzibar?hapo ndipo penye utata
 
Mwakyembe ni mnafiki, hafai, mwizi kama wenzake tu, hana msimamo.. Nilikua namkubali lakini kwa unafiki wake nimemshusha thamani

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Kama mtu alidiriki kuikana kazi ya mikono yake mwenyewe nitamwaminije? Bora nimpigie kura Kingwendu
 
Kuna watu kama hawa: Mwakyembe, Tibaijuka, Lowasa au Magufuli.

Zaidi ya hawa ni mtu gani tunafikiri anaweza kujitoa maisha yake kwaajili ya Watanzania?

Mwakyembe nusura apoteze maisha yake kwaajili ya Tanzania wote tumeshuhudia, nimeandika hivi kwasababu nimepita sehemu nikaona watu wanajadili ati nyanda za juu kusini hajawahi toka Rais na hatakuja atoke.

Binafsi watu kama kina Mwakyembe naona wameprove positive tu. (kwa wale wapenzi wenzangu wa magamba lakini).

Yeye kama yeye hana tatizo ila kwa sababu ni gamba hataweza kufanya badiliko lolote.
 
Mwakyembe nilikua namkubali,ila lilipokuja swala la katiba,tumemuona hafai,yaani huyo hatumtaki awe rais,Mimi nilikua simfagilii Lowasa,ila nishaanza kuona huyo atatufaa,Tibajuika hafai,hata UN walimtoa baru,Magufuli sijui sana akiwa rais atakuaje,maana kua rais na waziri ni vitu viwili tofauti

Kama hoja yako ya kumpinga Harrison ni suala la katiba iweje umfagilie Edward ambaye naye ni sehemu ya bunge la katiba kama mbunge wa Monduli?

Hajawahi kupinga wala kuafiki ukiukwaji mkubwa unaofanywa na CCM wenzake kuhusu mchakato mzima wa katiba, hivyo kwa mantiki yako ya upingaji, Edward hana utofauti na Harrison...
 
MImi hoja yangu ni kwamba kwann Mwakyembe hakusimamia kwenye kitu anachokiamini na kuwa mnafiki kama kinyonga?Lowasa shutuma zake ni hayo mambo yaliyotokea,ila kwa sasa namsapoti yeye ni mtekelezaji mzuri,sioni CCM mtu nayeweza kumwamini tena zaidi ya LOwasa,sio kwamba nilikua namfagilia Lowasa,ila siku zinavyokwenda naanza kuchambua anayefaa na asiiyefaa
 
Back
Top Bottom