Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

[h=2]kikwete ni mnafiki no 1[/h]
Tangu tupate maraisi hatujawahi kuwa na rais mnafiki, mzembe,dhaifu na ndumila kuwili kama kikwete uendeshaji serikali yake umejaa fitina dhihaka na upuuzi mwingi anyemshabikia huyu naomba aweke haya maelezo kwa kuprint au kucopy na baa ya 2015 mtaona kwa nini tz imefika hapa ilipo ni sababu ya huyu mr dhaifu hakuna alichowahi kuongoza kikafanikiwa zaidi ya kutengeneza makundi ndani ya chama na nchini ili awe madarakani kirahisi mungu ibariki tanzania kwa haraka sana tuondokane na huyu mnafiki

tunajua ile mimba ya mama ako iliyo sababishwa na WASSIRA inakusumbua..
 
Wapendwa

Sina ukaribu wowote na Mhe. Lowassa na wala hanifahamu. Sina nia ya kumpamba wala kumsifia. Ninaomba nitoe maoni yangu juu ya huyu Bwana.

Ukweli

1. Ndani ya CCM, hakuna mtu mwenye nguvu na mvuto wa ajabu sana kama Mhe. Lowassa
2. Mhe. Lowassa baada ya kuachia Uwaziri Mkuu amekuwa humble and down to earth, huwezi hata kuamini.;
3. Mhe. Lowassa anachagua sana maneno na sehemu ya kuongea, ni tofauti sana na viongozi wengi tunaowajua
4. Mhe. Lowassa kama akibahatika kuwa Rais 2015, anaweza kuwa Rais mzuri sana na anaweza kufanya makubwa kwa watanzania
5. Wengi tunasema Mhe. Lowassa ni fisadi.....pengine kuna ukweli....., swali langu: Hivi ni nani Nchi hii katika viongozi wote tulionao ambaye for sure waweza sema ni MSAFI? Wanadamu tuna ufisadi kuanzia kwenye NDOA zetu, mali za UMMA, Makanisani, Misikitini n.k

Hitimisho:

Nionavyo mimi, CDM watapata wabunge (binafsi nitagombea kupitia CDM na ninaweza kuwa mmoja wapo)na madiwani wengi, ila Rais twaweza shindwa. Kupitia CCM, Mhe. Lowassa hana mshindani........Watu kama Mhe. Magufuli, japo naye aweza kuwa Rais mzuri akipunguza jazba na kutaka misifa.......hawana nafasi ndani ya CCM.....

Hayo ni mawazo yangu, naomba maoni yenu.............
 
Mimi kwa mtazamo wangu ni hawa wawili tu Mh Bernard Membe au Mh Dr Hussein Ali hassan Mwinyi.

lakin kwa kuinusuru nchi yenu na matatizo mengi ya sasa na kulinda muungani Mh Dr Mwinyi ndiye anafaa zaidi. Na nina hakika huyu insh'Alllah atakuwa RAIS WENU.
 
WanaJF,

Amani kwenu wote.
Naomba tujiulize hilo swali hapo juu na kutafakari kwa kina. Kwa jinsi hali ya mambo ilivyo kuna uwezekano mkubwa kuwa JK ataendelea kuongoza mpaka 2015 pamoja na mapungufu makubwa katika uongozi wake.

2015 ndo mwisho wa muhula wa pili wa JK yaani miaka 10 ya kikatiba hatuwezi fanya uchaguzi kabla ya hapo labda kama kuna tatizo jingine.
 
Mimi kwa mtazamo wangu ni hawa wawili tu Mh Bernard Membe au Mh Dr Hussein Ali hassan Mwinyi.

lakin kwa kuinusuru nchi yenu na matatizo mengi ya sasa na kulinda muungani Mh Dr Mwinyi ndiye anafaa zaidi. Na nina hakika huyu insh'Alllah atakuwa RAIS WENU.

Usisahau kuja kumpigia kura raisi wako

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Kwenye hili naomba kipekee tuweke majina pembeni tuongelee tu sifa za kutuvusha tulipo na kwenda 2015 kuzuri and beyond; weka sifa za kutosha.1.2.3.4.5.6.7........hadi hata 30 iwe chech list, katika zote ondoa check list ya dini; hapo tutakwenda vema lakini sikubaliani kabisa kipindi hiki kuanza na majina.
Nawasilisha.
 
Mimi kwa mtazamo wangu ni hawa wawili tu Mh Bernard Membe au Mh Dr Hussein Ali hassan Mwinyi.

lakin kwa kuinusuru nchi yenu na matatizo mengi ya sasa na kulinda muungani Mh Dr Mwinyi ndiye anafaa zaidi. Na nina hakika huyu insh'Alllah atakuwa RAIS WENU.

sikiliza wewe kama umeletwa na dr mwinyi kupima upepo hapa mwambie mkafie mbali huko!!!!hao wote hakuna anaefaa kuwa Rais na kama kufa huo muungano na ufe!!!andaeni kabisaaaa siti ya cdm hapo ikulu
 
Wapendwa

Sina ukaribu wowote na Mhe. Lowassa na wala hanifahamu. Sina nia ya kumpamba wala kumsifia. Ninaomba nitoe maoni yangu juu ya huyu Bwana.

Ukweli

1. Ndani ya CCM, hakuna mtu mwenye nguvu na mvuto wa ajabu sana kama Mhe. Lowassa
2. Mhe. Lowassa baada ya kuachia Uwaziri Mkuu amekuwa humble and down to earth, huwezi hata kuamini.;
3. Mhe. Lowassa anachagua sana maneno na sehemu ya kuongea, ni tofauti sana na viongozi wengi tunaowajua
4. Mhe. Lowassa kama akibahatika kuwa Rais 2015, anaweza kuwa Rais mzuri sana na anaweza kufanya makubwa kwa watanzania
5. Wengi tunasema Mhe. Lowassa ni fisadi.....pengine kuna ukweli....., swali langu: Hivi ni nani Nchi hii katika viongozi wote tulionao ambaye for sure waweza sema ni MSAFI? Wanadamu tuna ufisadi kuanzia kwenye NDOA zetu, mali za UMMA, Makanisani, Misikitini n.k

Hitimisho:

Nionavyo mimi, CDM watapata wabunge (binafsi nitagombea kupitia CDM na ninaweza kuwa mmoja wapo)na madiwani wengi, ila Rais twaweza shindwa. Kupitia CCM, Mhe. Lowassa hana mshindani........Watu kama Mhe. Magufuli, japo naye aweza kuwa Rais mzuri akipunguza jazba na kutaka misifa.......hawana nafasi ndani ya CCM.....

Hayo ni mawazo yangu, naomba maoni yenu.............

Huwezi kugombea UBUNGE CDM , just because you dont know what we fight for ! Kama ungejua msimamo wa CDM usingekuwa Mpambe wa Lowasa hata chembe , Wameshindwa kumtakatisha Maaskofu Njaa , wewe hutaweza , tafuta cha kufanya kaka hiyo kazi uliyojipa ni ngumu mno .
 
Mimi kwa mtazamo wangu ni hawa wawili tu Mh Bernard Membe au Mh Dr Hussein Ali hassan Mwinyi.

lakin kwa kuinusuru nchi yenu na matatizo mengi ya sasa na kulinda muungani Mh Dr Mwinyi ndiye anafaa zaidi. Na nina hakika huyu insh'Alllah atakuwa RAIS WENU.
duu,nchi ya kifalme!
 
Rais awe yeyote atakaekidhi vigezo vya nafasi hiyo isipokwa asitokee CCM,vinginevyo haya malalamishi na uchambuzi wa siasa zisizo na mwisho utaendelea maradufu ya sasa.Napenda waongoze wengine kutoka vyama vingine,waje na visirani na uchu wa kuwaadhibu kisheria watapanya mali za taifa.Ni mtazamo tu.
 
Kumbuka nchi yenu hata siku moja haiwezi endeshwa kwa visasi bali inaendeshwa kwa KATIBA na SERA za chama husika. Dr Mwinyi hana visasi ni mtu aliyekubalika pande zote mbili. Aliwahi kuwa mbunge wa Mkuranga (Tanganyika) na Sasa mbunge wa kutoka Znz.

Mimi naamini wazi kwa wapenda amani wa nchi yenu huyu Dr Mwinyi InshAllah atakuwa Rais wenu 2015. Vuteni subra muone. Vyama vya uinzani baado kabisa kuweza kutoa Rais hususan upande wa Bara. kwani wengi wa viongozi wao ni wachumia tumbo tu na waganga njaa, wanazungumza mazuuri kwa kuwa wana njaa wakishiba hakuna lolote.
 
Mhh pagumu... bado mapema sana kutabiri hili, japo dalili za mabadiliko ya chama kingine kuchukua ni makubwa sana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom