Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

Huu urais anagombea kwenye kundi lipi anataka awe Rais wa kundi la Wasafi au Rais wa Manzese au NAYE anaanzisha kundi lake au atakuwa Rais wa Wachafu ccm ni mwendo wa vituko. Leo Kinana Kesho tutamsikia na Diamond naye anataka kugombea Urais wa JMT.Hiyo ndo Tanzania bhana kazi kwelikweliii
 
Kinana is goodkwa upande wa uwezo, abilities na capabilities, na hii nchi inahitaji imported president from Somalia au hata Kagame type kuinyoosha, so Kinana is ideal, anachohitaji sasa ni kubadili tuu dini, kwa sababu 2015 ni zamu ya wengine!.

Pasco
Pasco,

Tunahitaji rais mwenye clean sheet ya uraia wake uraia usio wa mashaka, tusijeshtukia tunakabidhi nchi kwa Al shabaab.
 
naona sasa rage atakuwa waziri mkuu, maana kila mmoja ccm anataka kuwa rais, mbona enzi za babu watu walikuwa hawasubutu kusema sema ovyo, ila siku hizi hata kwenye b.day paty mtu anasema ninataka kuwa raisi kuwasaidia kujikwamua na maisha magumu, mara rasilimali ziwanufaishe, hivi kweli tutafika? wakati huyo mtu yupo madarakani na utendaji wake tunauona? kura yangu na ushawishi wangu wa eneo husika nitatumia tumchague rais muwajibikaji, si wang'ang'ania madaraka. kauli mbiu mtaani kwetu lowasa timua vumbi, 2015 ikulu yetu.
 
KINANA NI MCHAFU. JK KASEMA KWENYE MIAKA 38 ya ccm kwamba RAISI Atakayekuja lazima hawe na SIFA hizi ( lazima tujifunze kusikiliza na kupambanua)

1- lazima hawe msafi
2-hana makundi
3-hanakijua chama vizuri,
4- hanakubalika Tanzania na nje ya Tanzania. Hanaweza kuwa balozi.....
5- mchapa kazi
6- Tanzania haina dini hila kwa jinsi hilivyo sasa mgombea lazima hawe mkirsto hatapata support kubwa kuliko kutoka upande wa pili...
7- watu hawatakuwa na uwalaki na mgombea

Na kazarika....

Hizo HANA ni style mpya ya kuandika au
 
inasemekana sasa CCM wameona mtu pekee atakae iokoa CCM ni Kinana.sababu kubwa ni kwamba amezunguka nchi nzima na watu wangi wamefurahia harakati zake za kuifufua CCM. Kinana akiwa Rais chama kitazidi kuimarika. Pia inasemekana kinana ndio mtu pekee JK amekua akimuandaa nje ya mfumo wa Serikali ili asiwe na makundi ambayo yamekua mwiba kwa chama.stay tuned

Labda wa kuu niulize katika mizunguko ya Kinana aliyofanya nchi nzima ni lipi ambalo anaweza kusema amefanikiwa?.
1.Wale mawaziri mzigo aliotaja wangapi wameshughulikiwa?.
2. Katika mizunguko yote aliyofanya zaidi ya propaganda ninini ambacho wananchi wanaweza elezwa kuwa ni matunda ya mizunguko yake?.
3. Nina amini kama kweli wako serious mtu pekee wa kukiokoa chama ni jaji Warioba. Warudi chini wamwangukie hilo ndo suluhisho pekee.
4.Tunawaomba watuepushie uvunjikaji wa amani. Maana hapa tulipofika panatisha hatuna jeshi ka kutulinda kama askari wetu wanaporwa silaha na watu wasio na silaha.
 
KINANA NI MCHAFU. JK KASEMA KWENYE MIAKA 38 ya ccm kwamba RAISI Atakayekuja lazima hawe na SIFA hizi ( lazima tujifunze kusikiliza na kupambanua)

1- lazima hawe msafi
2-hana makundi
3-hanakijua chama vizuri,
4- hanakubalika Tanzania na nje ya Tanzania. Hanaweza kuwa balozi.....
5- mchapa kazi
6- Tanzania haina dini hila kwa jinsi hilivyo sasa mgombea lazima hawe mkirsto hatapata support kubwa kuliko kutoka upande wa pili...
7- watu hawatakuwa na uwalaki na mgombea

Na kazarika....

Itabidi tufautilie uraia wako, huo uandishi sio wa Mtanzania anaejua Kiswahili, labda unatoka Kazakhstan au Afghanistan:sly:
 
Labda uraisi wa Somalia. Raisi ajae ni Eddo ambaye ataunda serekali ya Mseto na Ukawa. hao wauni weni wasahau.

Una akili sana.... Lazima tukubali nje ya ccm kuna watu makini sana ambao mchango wao ni muhimu kwa maendeleo ya Taifa... Lowassa for 2015
 
Ni kweli kwamba kwa Maccm hakuna la ajabu, yote kwao safiii. Hivi kweli Kinana akichaguliwa kupeperusha bendera ya CCM, si ntaomba UKAWA wanichague miye nikapambane naye??
Hata maccm yanajua hilo kwamba kumweka mtu ka Kinana ni kupeleka nyama kwenye zizi la fisi ati walishiba sana jana, hawataila.
Kinana nafuu tena Edoo.
 
inasemekana sasa CCM wameona mtu pekee atakae iokoa CCM ni Kinana.sababu kubwa ni kwamba amezunguka nchi nzima na watu wangi wamefurahia harakati zake za kuifufua CCM. Kinana akiwa Rais chama kitazidi kuimarika. Pia inasemekana kinana ndio mtu pekee JK amekua akimuandaa nje ya mfumo wa Serikali ili asiwe na makundi ambayo yamekua mwiba kwa chama.stay tuned

Siyo rahisi unavyofikiri..... Nguvu ya Lowassa kwa sasa hata Kinana akizunguka kila kitongoji Tanzania nzima hawezi kufua dafu
 
Labda uraisi wa Somalia. Raisi ajae ni Eddo ambaye ataunda serekali ya Mseto na Ukawa. hao wauni weni wasahau.
.........ni kosa kubwa ambalo chama changu pamoja na mifumo yote ya usalama kama itaamua kufumbia macho na hatimaye Kinana awe Rais (kitu ambacho kwa maoni yangu hakiwezekani hata kama tunataka ushindi); majirani zetu Kenya wanahangaishwa na Al Shabab kwa sababu kuna wakati Mkuu wa polisi wa Kenya alikuwa kama sio Msomali basi alikuwa na asili hiyo, akawaingiza ndugu zake kibao polisi na jeshini, leo hii Kenya wanapigana vita na Al Shabab ambao wako nao ndani, MUNGU AEPUSHIE MBALI hili; UKATIBU MKUU WA CCM-Unamtosha, potelea mbali ubalozi wampe, lakini sio nchi...
 
Duh, sikuwahi kusikia kuwa Kinana alihusika kwenye kifo cha Stan Katabalo. Hebu tiririka mkuu tukuelewe. RIP Jembe Katabalo

Kinana ndio alikuwa mwenyeji wa hao waarabu na ajira ilikuwa inatolewa kwenye ofisi ya mdogo wake flacon dryclener arusha, stan katabalo alikuwa anafuatilia sana kashfa loliondo alikuwa anatoa makala kila wiki.hadi umauti ulipomkuta.
 
Kinana is goodkwa upande wa uwezo, abilities na capabilities, na hii nchi inahitaji imported president from Somalia au hata Kagame type kuinyoosha, so Kinana is ideal, anachohitaji sasa ni kubadili tuu dini, kwa sababu 2015 ni zamu ya wengine!.

Pasco

Hivi hili swala la kila upande kupokezana kijiti lina mashiko kweli mkuu? Sio tunatakiwa tupate mtu bora na sio mtu kwa sababu ya dini au nasaba zake

N.B sio Team Kinana.
 
Kinana is goodkwa upande wa uwezo, abilities na capabilities, na hii nchi inahitaji imported president from Somalia au hata Kagame type kuinyoosha, so Kinana is ideal, anachohitaji sasa ni kubadili tuu dini, kwa sababu 2015 ni zamu ya wengine!.

Pasco
Pasco umeniacha nacheka mpaka nimeangusha kikombe changu cha kahawa na mama yeyoo kakasirika maana hajui ninacheka nini. Eti Imported President from Somalia! Hii kali sana. Ila mlikuwa mnashangaa Twiga kupanda Boeing sasa mtaona wale wakubwa zaidi wakipanda meli wazimawazima.
 
Last edited by a moderator:
Mfano 2015 hawa ndio wagombea Urais, Kura yako utaipeleka kwa nani?
A: PETER PINDA
B: WILBROAD SLAA
C: ITAHARIBIKA


 
Hilo koti la pinda noma sana.

Tatizo unalinganisha Ronaldol na Ngasa kwa mafanikio yao kisoka
 
Back
Top Bottom