Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

Mwaka huu tutasikia mengi. Kinana alishalalamikiwa siku nyingi kuwa ziara zake zilikuwa na lengo la kujijenga binafsi. Hata hivyo siamini kama Kinana ni karata nzuri kwa CCM.
 
Hivi unadhani Kinana ni mjinga kiasi hicho kuzunguka nchi nzima bila future targets?
 
Karata yake ina unafuu kuliko ya wakina pinda,membe,na Tyson
 
Kinana ana kashfa ya kumua stan katabalo alikuwa mwandishi wa habari,aliyefichua kashfa ya loliondo.
 
Stan Katabalo yupi, yule wa Mfanyakazi?

hii habari ya Kinana kugombea niliwahi kuisikia lakini nikaipuuza.
 
Kinana ana kashfa ya kumua stan katabalo alikuwa mwandishi wa habari,aliyefichua kashfa ya loliondo.

Duh, sikuwahi kusikia kuwa Kinana alihusika kwenye kifo cha Stan Katabalo. Hebu tiririka mkuu tukuelewe. RIP Jembe Katabalo
 
inasemekana sasa CCM wameona mtu pekee atakae iokoa CCM ni Kinana.sababu kubwa ni kwamba amezunguka nchi nzima na watu wangi wamefurahia harakati zake za kuifufua CCM. Kinana akiwa Rais chama kitazidi kuimarika. Pia inasemekana kinana ndio mtu pekee JK amekua akimuandaa nje ya mfumo wa Serikali ili asiwe na makundi ambayo yamekua mwiba kwa chama.stay tuned
Kinana is goodkwa upande wa uwezo, abilities na capabilities, na hii nchi inahitaji imported president from Somalia au hata Kagame type kuinyoosha, so Kinana is ideal, anachohitaji sasa ni kubadili tuu dini, kwa sababu 2015 ni zamu ya wengine!.

Pasco
 
Duh kwa hiyo hoja kuu dhidi yake zitasambazwa zile picha kwa wajumbe wa mkutano mkuu?

Mkuu Ben Saanane ndivyo itakavyokuwa. Kama umeona gazeti la Mawio la wiki hii watakuwa wanaambanisha na ile aliyolala bungeni. Its a joke lakini kwenye siasa we dont under estimate things..
 
Last edited by a moderator:
ccm haipa perfect figure for presidential may be kinana aende sudan kusini au somalia anaweza ambulia kamoja
 
Kinana is goodkwa upande wa uwezo, abilities na capabilities, na hii nchi inahitaji imported president from Somalia au hata Kagame type kuinyoosha, so Kinana is ideal, anachohitaji sasa ni kubadili tuu dini, kwa sababu 2015 ni zamu ya wengine!.

Pasco
kaka acha maneno yako haya ya kusema tulete msomali au kagame!
 
Kinana is goodkwa upande wa uwezo, abilities na capabilities, na hii nchi inahitaji imported president from Somalia au hata Kagame type kuinyoosha, so Kinana is ideal, anachohitaji sasa ni kubadili tuu dini, kwa sababu 2015 ni zamu ya wengine!.

Pasco

Mkuu Pasco this time CCM wana mtihani mgumu sana. Ukiachilia dini kuwa ni zamu ya wengine, lakini pia wale wa upande mwingine wanasema hii ni zamu yao. Ukiachilia hayo mawili ya dini na pande mbili za nchi, kuna la ile mahakama pia, ukileta huku wanasema hatutaki, ukiacha wengine wanasema hutupendi na kura hatukupi. Ngoja tuone this time mchezo utakavyokuwa.
 
Last edited by a moderator:
inasemekana sasa CCM wameona mtu pekee atakae iokoa CCM ni Kinana.sababu kubwa ni kwamba amezunguka nchi nzima na watu wangi wamefurahia harakati zake za kuifufua CCM. Kinana akiwa Rais chama kitazidi kuimarika. Pia inasemekana kinana ndio mtu pekee JK amekua akimuandaa nje ya mfumo wa Serikali ili asiwe na makundi ambayo yamekua mwiba kwa chama.stay tuned

Japo mimi na CCM ni kama pua na moshi, Kinana ana afadhali kuliko Pinda, membe, wassira, ngeleja na makamba. Kama watamtosa lowasa wawateue kinana au karume.
 
Nakubaliana na wewe ila rekebisha hapo kwa Karume, hii sio nchi ya Kisultani.
 
Kinana is goodkwa upande wa uwezo, abilities na capabilities, na hii nchi inahitaji imported president from Somalia au hata Kagame type kuinyoosha, so Kinana is ideal, anachohitaji sasa ni kubadili tuu dini, kwa sababu 2015 ni zamu ya wengine!.

Pasco

Hivi haya mawazo huwa mnayatoa wapi?
 
KINANA NI MCHAFU. JK KASEMA KWENYE MIAKA 38 ya ccm kwamba RAISI Atakayekuja lazima hawe na SIFA hizi ( lazima tujifunze kusikiliza na kupambanua)

1- lazima hawe msafi
2-hana makundi
3-hanakijua chama vizuri,
4- hanakubalika Tanzania na nje ya Tanzania. Hanaweza kuwa balozi.....
5- mchapa kazi
6- Tanzania haina dini hila kwa jinsi hilivyo sasa mgombea lazima hawe mkirsto hatapata support kubwa kuliko kutoka upande wa pili...
7- watu hawatakuwa na uwalaki na mgombea

Na kazarika....
 
Back
Top Bottom