Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,810
- 287,806
Kiswahili fasaha basi!!!Mimi ninao uwezo tena mkubwa
Tatizo sijapata nafasi ya kuonekana ila uwezo ninao
Najuhakikishia ilo
Makonda here to stay! De facto Naibu Rais, here to stay! labda kama atatoka hapo na kuwa Rais, full Rais, na si vinginevyo! (15 yrs to come is unpredictable na si ajabu Dar kama mkoa usiwepo)....Hili ni swali tu ndugu zangu , wala halina uhusiano na jambo lingine lolote .
Ieleweke kwamba Mkoa wa DSM kama ilivyo mikoa mingine umeishaongozwa na Wakuu tofauti tofauti wa Mkoa , kwa uchache nitaweka majina kadhaa , Tukianza na Marehemu Kandoro , Marry Chipungahelo , Mecky Sadik na Ditopile Mzuzuri
Uongozi ni kama mbio za kupokezana vijiti , leo huyu kesho yule , hakuna kiongozi wa milele .
Pendekeza jina la umtakaye hata kama itafika miaka 15 ijayo .
Wakati si milele
Freeman Mbowe!Hili ni swali tu ndugu zangu , wala halina uhusiano na jambo lingine lolote .
Ieleweke kwamba Mkoa wa DSM kama ilivyo mikoa mingine umeishaongozwa na Wakuu tofauti tofauti wa Mkoa , kwa uchache nitaweka majina kadhaa , Tukianza na Marehemu Kandoro , Marry Chipungahelo , Mecky Sadik na Ditopile Mzuzuri
Uongozi ni kama mbio za kupokezana vijiti , leo huyu kesho yule , hakuna kiongozi wa milele .
Pendekeza jina la umtakaye hata kama itafika miaka 15 ijayo .
Wakati si milele
Alikuwepo John Mhaville, mzee wa " Nguvu Kazi" ...Dar ilinyooka!Dah, huyo Mary Chipungahero naye alibamba jiji hilo si mchezo. Mwingine ni Brigadier General? Hassan Ngwilizi, hahahaa!
Kampige kibao wariobaMimi ninao uwezo tena mkubwa
Tatizo sijapata nafasi ya kuonekana ila uwezo ninao
Najuhakikishia ilo
Umenikumbusha jambo !Kampige kibao warioba