Nani anaamulia huu ugomvi?

Nani anaamulia huu ugomvi?

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,443
3548474_1237634915719934897805588930165113784500581n2_jpeg0f332d59fb1ce234262f184d16496a6b


Nani anaamulia huu ugomvi?


Namba 1, 2 au 3?
 
No 2. Aliingia katikati yao. Alipoona yamemshinda kaamua kuingia uvunguni.
Hapana chezea ugomvi.
 
Sasa huyo mwingine kati kati ya miguu anapigana au??
 
No 3,ila mwamuzi ana jaziba anaweza wavuruga wote.
 
Hii picha imenikumbusha magazeti ya zamani kwenye chemsha bongo,utasikia "onyesha mpira"
 
Back
Top Bottom