Nani ana sababu zaidi ya hizi

Kila kitu kinapokuwa kingi sokoni ni lazima kishuke thamani hata kama ni bora, na kitu kikiadimika sokoni na mahitaji yakawa ni makubwa ni lazima kipande thamani.
Lakini zaidi kitu au jambo lolote likizushiwa kuwa ni rahisi au jepesi nalo pia huwa linapungua uthamani.
Maana Yangu ni hii, masomo ya art yameonekana ni kimbilio kwa watu wengi hivyo kupelekea kuzarishwa kwa mwalimu wengi.na kuzalishwa kwa mwalimu wengi ndio kunapelekea kushusha thamani ya mwalimu hao sokoni lakini pia kushusha uthamani wa masomo yenyewe na kuonekana ni mepesi ingawa kiuhalisia sio ukweli..
Hiyo ndio maoni yangu
 
Boss shukrani kwa maoni yako chanya.
 
Mnadaka sana fursa za kuongeza kitu kidogo mpaka imekua rahisi kwenu kutumika kwenye propaganda za chama tawala na serikali.
 
Mkuu masara hapo juu naona amemaliza kila kitu. Shotly ni kwamba ili bidhaa iwe marketable inategemea na consumer wana uhitaji nayo gani

Kwahivyo swala la kusema kuwa uwalimu hasa wa sanaa na kada ya ualimu kwa ujumla ni kutokana na kukosekana kwa consumers ambao ni shule ukiangalia leo hii kila shule ina walimu zaidi ya watatu wa history,kiswahili kwenye darasa moja sasa hapo unaona kabisa uhitaji umetosheleza.

Kwahiyo hakuna sababu ya kuendelea kupoteza pesa kuajiri watu ambao tayari hawana uhitaji.
 
Hebu jaribu kufikiria kuhusu tucta
Hebu jaribu kufikiria kuhusu cwt
Hebu jaribu kufikiria kuhusu mahitaji ya mwalimu huyo na mahitaji ya familia aliyo toka
Hebu fikiria kuhusu taaluma inavyo mezwa na siasa.
 
Taaluma ya ualimu si kwamba imeshuka thamani si kweli hata kidogo ila imeshusushwa thaman na wahuni wachache.Ni kweli kundi likiwa kubwa ni rais kulidhibiti kama walivyodhibitiwa na serikali.Lakin awamu ya 4 ya JK iliwapa kipaumbele walimu.Mtu anamaliza mwezi wa 11 mwezi wa 4 mwaka unaofuat mtu anaajira yake.Lakin Jiwe kaja na sababu zisizo na mashiko za kudunisha ualimu.
Kuna baadhi ya shule za private ambazo mi nimepita tulikuwa walimu 19.Walimu wa arts kama 13 lakin katika hao walimu wa english ni 2,mmoja akagoma kufunxisha english akakimbilia History.Wengine wote wakagawanyika kwenye masomo mengine.Kwa hiyo si kweli kwamba walimu wanatosha kumbuka saizi shule ya msingi watoto hawafeli.Unakuta shule ya mjini form 1 wanafunzi 600.Hapo unataka kunambia wanatosha?vijijini huko mwalimu wa Arts anafundisha sayansi na art na wa sayansi anafundisha na Arts maana unakuta walimu 5 wanafunzi 450.unategemea nini hapo
 
Back
Top Bottom