Nani amewahi kula hii kitu?

Daaah aisee nsansa majani ya kunde yanachemshwa then yanakaushwa.
 
Mashroom naziogopa nliona kuna kipindi cha hospital ER kuna couples walipata athari mbaya kutokana na kula aina flani ya mashroom
 
mushrooms niliishia kuzisoma tu darasani, sijawahi onja aisee!.
 

Hahahaaa konokono atajiju


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah umenikumbusha mbali sana




Hajaacha kuniwekea mafuta ya taa kwekwenye ubwabwa.
 
Nimekula sana miaka hiyo kitu,hasa ukiwa umekauka vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…