Nani amewahi kula hii kitu?

Huo ni uyoga ila kwa hawa wadada wa Leo hawajui kuupika huwezi kufaidi kivile labda ukute bibi yako kijijini kapika utakula mpaka usahau kurudi mjini
 
hiyo kitu tamu balaaa ukimpata mpishi mzuri lakini"""
halafu kuna Yale majani ya maharage ambayo bado hayaja komaa " sasa Yale uyachume yakiwa hayajakomaa then yakaushwe kidogo "" kisha yapikwe ..dooohghhh tamu hadi kisogoni""

matembele nayo yakaushwe juani halafu yapikwe..geeeezz"" daahh mademu wa siku hiz kweli hawajui kupika "" wazazi wetu walikuwa wanayajua mapishi aiseee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom