The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,318
- 46,058
Yaani umenikumbusha zamaniii. ..... basi tuu siku nikienda kutembea nyumbani ...... nawataarifu mapemaa waniwekee madikodiko ya kinyamwezi nikitoka huko nimenonaaa hehehe.
Sasa hivi wewe si mambo yako Steers, Nando, Mc Donald..haya mambo tuachie sie. Nsansa na nswalu naweza maliza ugali kilo mbili peke yangu. Alimradi kuwe na mtindi pembeni.
Nakutakia mapumziko mema rafiki