Nani amewahi kula hii kitu?

Wanyamwezi tuna mboga yetu inaitwa nsansa na nyingine nswalu hizi nyingine huwa zinachanganywa na uyoga aiseeh zikipikwa huwa ni tamuu hasa ikiungwa na karanga weeh ugali wa dona uliochanganywa na Muhogo iiggh acha tuu tuambiwe tunabeba mizigo mizigo maana tunakula vinono.

Mwaah wanyamwezi wenzangu aka wakadama.
Umenikumbusha mbali sana...kitu cha nsansa na dona.
 
Kitu cha uyoga ni hatari niliwahi kula Kigoma imechanganywa na maharage na mawese kwa juu...utadhani nyama aisee
 
Kasie nsansa au nswalu nazielewa, imwagiwe karanga au maziwa mabichi utavimbiwa. Pembeni kuna mtindi na nyama choma ugali sio wa kwenye sahani, unaletwa kwenye chungu kutoka jikoni...we acha tu.

Mzigo mzito mpe mnyamwezi..... najivunia kuzaliwa mnyamwezi.
 
Madikodiko ya kinyamwezi.... basi watu huwa hawaelewi.... hapo hujalambishwa asali....

Akipikwa kuku analetwa mzimamzima kuanzia kichwa hadi makanyagio kwenye chungu. Amepigwa samli harufu mtaa mzima. Ndio maana hakuna magonjwa ya ajabu ajabu enzi hizo. Kemiko itoke wapi wakati ukimaliza unashushia togwa ya baridiiiiiii
 
Wanyamwezi tuna mboga yetu inaitwa nsansa na nyingine nswalu hizi nyingine huwa zinachanganywa na uyoga aiseeh zikipikwa huwa ni tamuu hasa ikiungwa na karanga weeh ugali wa dona uliochanganywa na Muhogo iiggh acha tuu tuambiwe tunabeba mizigo mizigo maana tunakula vinono.

Mwaah wanyamwezi wenzangu aka wakadama.
Ahahahahhaaa niliufuma goweko station mkavu nikanunua debe zima sasa kila anayekuja kusalimia kuficha siwezi kumpa sitaki najidai nina uyoga kidogo yaani hata kukupa siwezi utasikia nipe hivyo hivyo mwisho ukaisha kwa kugawa
 
Aahahahahahahahaaaa polee.
 
Akipikwa kuku analetwa mzimamzima kuanzia kichwa hadi makanyagio kwenye chungu. Amepigwa samli harufu mtaa mzima. Ndio maana hakuna magonjwa ya ajabu ajabu enzi hizo. Kemiko itoke wapi wakati ukimaliza unashushia togwa ya baridiiiiiii

Yaani umenikumbusha zamaniii. ..... basi tuu siku nikienda kutembea nyumbani ...... nawataarifu mapemaa waniwekee madikodiko ya kinyamwezi nikitoka huko nimenonaaa hehehe.
 
Duh tangu nihamie Dar sijawahi kula tena hiyo kitu...mara yamwisho kuila ni mwaka 2003 kule Sengerema kwa bibi. Tamu sana,japo zingine ni za sumu...so nilikuwa nikienda porini kuvuna ninazi identify kabisa....ile ni sumu, ile mboga, ile changa mno, etc. Unakuta yamejiotea tu, konokono wamejikinga chini huo mwanvuli. Nafika nang'oa, konokono anajipanga upya
 
Yaani umenikumbusha zamaniii. ..... basi tuu siku nikienda kutembea nyumbani ...... nawataarifu mapemaa waniwekee madikodiko ya kinyamwezi nikitoka huko nimenonaaa hehehe.
Halafu Sasa kila jioni Ni taarifa kesho umealikwa wapi ahahahaaa lwa midebe mchuzi kwenye ndooo, Kasie naumia sana kutokujua kuongea kabila langu pendwa naumia sana kwa kweli
 
Hahahahaaa hujachelewa best hata kama una miaka 40 ukitaka kujifunza utajifunza na utaongea tuu. Elimu haina mwisho...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom