Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,366
- 161,496
Hayamie kila siku najiombea
Hayamie kila siku najiombea
hujui kinachoendelaHizo ni hasira za kitoto sana ukikua utaacha i am sure
nna pakwendaNaona mleta mada pamoja na utu uzima wake anatamani kuitwa mtto wa mtaani
Poa nendanna pakwenda
Kuna nn mkuu kua miwazi bas tujue chanzo nn tupate kukushaur vzurhujui kinachoendela
ikimpendeza bwana nitakuja kueleza hapaKuna nn mkuu kua miwazi bas tujue chanzo nn tupate kukushaur vzur
Umenena vema,lakini pia kuna uwezekano wa kufia kusikojulikanaToroka nyumbani uwe na sehemu ya maana na yenye faida ili hata utakaporudi wasishangae kutoroka kwako.
Sio unatoroka unaenda kusiko eleweka mwishowe unarudi na tabia ambazo ni kazi kwa wazazi au ndugu zako kukubadilisha. Jiongeze dogo unaweza dhani unawakomoa kumbe unajikomoa
Dadavua kidogo mkuu!Mi pia nliwai kutoroka nkatusua kiaina
Nilikuwa naishi na Dada, kanisomesha mpk chuo japo kwa shida shida yapo pesa kwake haikuwa tatizo... Nilivomaliza chuo nikiomba ruhusa ya kwenda kuomba kazi au nikiitwa kwenye interview ananibania eti nihudumie mifugo yake, sa ingine ananipangia siku za kwenda. Hii ilisababisha kukosa kazi mashirika binafsi kadhaaa kwakuto kufika kwenye interview,nikasepa nkaenda kukaa kwa rafiki angu flank hivi,,,, hila nilivotusua sikumsahau bado namuheshimu kama mlezi wangu....Dadavua kidogo mkuu!
Hahaaaa kapeace umenchekeshamnooBado hajatusua ila ametoroka