Nani amewahi kuexperience hiki kitu?

Nani amewahi kuexperience hiki kitu?

Anko wangu alitoroka kwao baada ya miaka kumia akarud, asaiv yeye ndo wa mwisho kimaendeleo ukoo mzima. Period
Dah hadith yako kama ya uncle wangu nae alitoroka na alikuwa na akili tu shulen coz alimaliza form six, matokeo yake karudi mlevi matokeo yake wazazi wake na ndugu ndo wanakazi ya kumrudisha kwenye mstari na wameshindwa.

Yani hata leo akifa(siombei) hana hata suruali ya maana ya anko zake sie turithi.
 
kwanini alitoroka?
 
Back
Top Bottom