mr man city
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 467
- 320
Dawa ya jino ni kung'oa by WAHENGA
Nilivyosafisha daktari alishauri kusafisha na kulijaza maana kama ni mdudu uking'oa atahamia jino lingine.Sijawahi fanya ivyo
Dawa ya jino kun'goa tu
Nimejaza jino 2003 mpaka leo freshAmbaye ameshawahi kujaza jino lililotoboka, kitaalam wanaita ROOT CANAL naomba anipe uzoefu. Mimi niliwahi kusafisha tu jino la huku mwisho yanaitwa magego 2016 ila sikurudi kulijaza mpaka leo. Sasa linauma hatari mpaka kutafunia kitu haiwezekani tena.
Nipe experience kidogo mkuu. Ulijaza wapi na ilikuwaje.Nimejaza jino 2003 mpaka leo fresh
Kusafisha tu ilikuwa mziki. Yani ganzi inachomwa mara mbili mbili lakini wanavyodrill jino kama vile ni kuchomelea chuma.Sijawahi Fanta root canal lakini ninaufahamu mziki wake
Huyo dokta wako ni kanjanja, hakunaga sijui mdudu wa jino wala kiluiluiNilivyosafisha daktari alishauri kusafisha na kulijaza maana kama ni mdudu uking'oa atahamia jino lingine.
Wakati huo nikiwa Kahama Mining huko Kakola. Kulikuwa na daktari wa meno mzungu, alikuwa na sijui niseme dispensary ya neno pale Mwanza mjini. Alikuja kwenye dispensary ya mgodi na akaliziba. Halijawahi nisumbua hadi Leo. Ni gego la pili chini, kuliaNipe experience kidogo mkuu. Ulijaza wapi na ilikuwaje.
Aliniingiza chaka sioHuyo dokta wako ni kanjanja, hakunaga sijui mdudu wa jino wala kiluilui
Hizo vitu wanaingiza kwenye njia za mishipa ya neva kwenye jino waliziweka? Naona kuna hizo vitu kama chuma wanazijaza kuua mawasiliano ya jino na neva.? Au walivyokuwa wanaliziba hawakukusafisha jino lote ili kuua mawasiliano ya jino na mishipa?Wakati huo nikiwa Kahama Mining huko Kakola. Kulikuwa na daktari wa meno mzungu, alikuwa na sijui niseme dispensary ya neno pale Mwanza mjini. Alikuja kwenye dispensary ya mgodi na akaliziba. Halijawahi nisumbua hadi Leo. Ni gego la pili chini, kulia
Mziki wake Kwa maana ya maumivu au?Au mi ndo sielewi root canal ni kujaza jino lililotoboka?Sijawahi Fanta root canal lakini ninaufahamu mziki wake
Likitiboka kinafanyiwa riot canal kabla ya kuzibaMziki wake Kwa maana ya maumivu au?Au mi ndo sielewi root canal ni kujaza jino lililotoboka?
pole kwa tatizo hapa naona kila mtu mshauri ipo hivi kuna tofauti kati ya ROOT CANAL na KUJAZA JINO LILILOTOBOKAAmbaye ameshawahi kujaza jino lililotoboka, kitaalam wanaita ROOT CANAL naomba anipe uzoefu. Mimi niliwahi kusafisha tu jino la huku mwisho yanaitwa magego 2016 ila sikurudi kulijaza mpaka leo. Sasa linauma hatari mpaka kutafunia kitu haiwezekani tena.
Afadhali maana nilifikiri ni wale wanafunzi wa Rembo wa Muhimbili ningesema unatuongopeaWakati huo nikiwa Kahama Mining huko Kakola. Kulikuwa na daktari wa meno mzungu, alikuwa na sijui niseme dispensary ya neno pale Mwanza mjini. Alikuja kwenye dispensary ya mgodi na akaliziba. Halijawahi nisumbua hadi Leo. Ni gego la pili chini, kulia