Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,052
- 285,653
Subirini wale uvccm waliopewa kilimo cha kisasa Dodoma walishe nchi
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
kumbe huna ushahidi wowote acha kubwabwaja basKwahiyo unataka wafe ndio hatua zichukiliwe, akili zingine nazo.
Hukusukia wiki iliyopita watoto wamekufa kwa kula sumu iliyopulizwa kwenye nyanya, imeripitiwa hata na JF instagram page, au huwa unasomaga tu page za umbea?kumbe huna ushahidi wowote acha kubwabwaja bas