Nani amemroga Profesa Palamagamba Kabudi?


Prof. Kabodi bana: -------- ana tabia ya kushupaa na
Mjinga ana tabia ya kuduwaa...basi kuanzia leo mimi ni
MJiNGa...Somo kubwa sana 2014...Je wewe unachagua
kushupaa au kuduwaa?! # KaziKwako # KatibaMpyaTz
 
Mimi ni Mjinga sifa yangu Kuduwaa,
Kamwe Sitakua -------- ili Nishupae.
 
V/S

SIDHANI KAMA PROF P K AMENUNULIWA ILA NAAMINI WATZ HAMKUMUELEWA VIZURI,ALICHOSEMA NI KUWA HATA WANASIASA NI WATANZANIA JAMANI WHICH IS ABSOLUTELY TRUE mimi bado namuamini mwalimu wangu wa CRIMINAL LAW
then...i dont see what all the fuss was about?
By the way i saw him yesterday in the dialogue (ITV), i think he went clean..when he cleared everything from his chest
 
mke wake bado yupo library?? nilimuacha pale! nilikuwa flower girl kwenye harusi yao! alikuwa anaitwa amina, akambadili dini to be a christian! ana two kids hope sijui nani mwingine, nimemsahau! looool! mmenikumbusha mbali!
 


Mkuu kwa sasa uchaguzi ujao ni lazima Mgombea Binafsi hata kama Katiba Mpaya haitapatikana .Hii ni kutokana na Hukumu ya Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu.Ila wasomi wetu wengi usiwaamini si hawa tu yupo mwingine aliyetusumbua na Mavitabu yake yenye maneno Memngi tujkamwamini na kuvinunua na sasa ni mevitupa kwa sababu hata yeye mwenyewe kumbe hana uhakika wa alichokiandika alitaka kujaza saver za vichwa vyetu .Na kuanzia siku niliyo msikia huyu bwana akiyakanyagakanyaga mawazo na misimamo yake kwasababu ya mkate NIME APA KWAMBA SINTO MNUKUU PROFESA YEYOTE WAKITANZANIA HASA... KUTOKA CHUO KINA CHOJIITA KIKONGWE UDSM ...MPAKA ATAKAPO KUFA KWA NI HATAWEZA KUFUFUKA KURUDI KUTUCHANGANYA...

Usiwaamini wasomi huwa kadiri wanavyo bobea kwenye usomi kichwa chao kina jaa material so akifikiri vizuri kwa hiyo wana hamishia shughuli za kufikiri kwenye matumbo yao
 
Ama kweli ukistaajabu ya Musa unaona ya Firauni.

Wasomi wa nchi majanga. Kumbe ukiwa mwongo jifunze kutunza kumbukumbu.

Huyu prof kanipa jibu kwanini hata Rais wangu alipoulizwa Kwann Tanzania ni masikini akajibu sijui ni kwanini.

Hawa ndio aina yetu ya wasomi tunaotegemea watutoe hapa tulipokwama kumbe hamna kitu.

Kwa mujibu wa thread nimeshindwa kuelewa hata kama mie mjinga. Huyo ni prof.anasema jibu ni 1 baadae anasema jibu ni 2 then anarudi kusema jibu ni 1???

Huyu atakua Muathirika sio bure... kuna wadudu wanautafuna ubongo wake pasipo kujua.

Sijawai kusikia prof wa dizaini hii.
Kutenda kosa si kosa bali kurudia kosa ndo kosa.
Alipoteleza mara ya kwanza mtu unaweza ukamuelewa kuwa kabaini kosa.

Kituko ni pale anapoteleza kwa kurudia jibu la kwanza akisema ndo lilikua sahii na si lile la pili.

Hivi MUNGU nilikukosea ni mpaka kuniumba kwenye nchi kama hii iliyojaa laana na wanafiki?
 
Tunaolalamika hatuko kwenye system tuu lakini pacha picha ungekuwa wewe hapo!!


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
mleta mada ww unajiita nani kati ya wajinga na wapumbavu? Prof. alitutoa matongotongo wengi maana alisema yale msiotaka ninyi. Hajalogwa labdaww ndio mchawi uliyeshindwa.
 
mke wake bado yupo library?? nilimuacha pale! nilikuwa flower girl kwenye harusi yao! alikuwa anaitwa amina, akambadili dini to be a christian! ana two kids hope sijui nani mwingine, nimemsahau! looool! mmenikumbusha mbali!

Mmmmh kwan bado unafaa kuwa glower girl?
 
Mtoa Maada ni -------- HII NA MARA YA KWANZA KUTUKANA MTU KWENYE MITANDAO LKN KUTOKANA NA MAADA YAKE YA KIPUMBAVU
 
AMARIDONG

aliyemloga
= aliyemroga

Kuroga au kurogwa na si kuloga au kulogwa.
 
Last edited by a moderator:

Toa elimu ya bure mwakilishi wa BAKWATA hapa Jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…