God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,068
ZInaweza piga hata tenda nche ya nchi zikaingiza mapesa kibaoKama hakuna Abiria basi ndege hizo Ni mapambo Tuu..na hazina umuhimu wowote..

Nami nilitaka kusema hivyo ahsante ioa niongezee tusimhukumu kabla hajashindwaHoja yako inaweza kuwa na substance. Lakini jee tunao abiria 450 wa kupanda Boeing 777 kwenda Songea Kwa wakati mmoja? Nadhani walimshauri Mkuu wa Kaya waliangalia vigezo kadhaa ikiwemo ulichokijengea hoja.
Katika kusoma thread sijaona mahali alipoponda ila amejaribu kufanya mchanganuo. Hisia za kuponda ziko kwako.Hao abiria 400+ wanaokwenda Songea ni kina nani? Tumia akili hii nyepesi: Why send a nearly empty Boeing to Songea when a Bombardier could fit the purpose? Tatizo lenu sio ndege, ingekuwa kubwa mngeponda, sasa ni ndogo mnaponda. Mbona hamzungumzii mabehewa mapya ya kuifufua Reli ya Kati? Acheni siasa za chuki
Hoja yako inaweza kuwa na substance. Lakini jee tunao abiria 450 wa kupanda Boeing 777 kwenda Songea Kwa wakati mmoja? Nadhani walimshauri Mkuu wa Kaya waliangalia vigezo kadhaa ikiwemo ulichokijengea hoja.
Ahahaha,acha nae ale maisha!ajira ngumu,nowdays!Kuna kipindi JF inakuwa kweli nyumba ya wataalamu na wanaotumia akili na elimu yao. Bandiko hili linawakilisha vyema uwapo wa great thinkers.
Niongeze tu kwa kusema calculations zilizotolewa hapo juu zina assume kwamba abiria hawajali uharaka wa safari ambao uko tofauti kati ya Bombardier na Boeing. Assumptions hii ikilegezwa utaona rais kadanganywa zaidi. Pia hesabu hizo zina assume kwamba gharama ya uendeshaji ndege ni mafuta tu, assumption hii nayo ikilegezwa utakubaliana nami kwamba aliyemdanganya rais hatakiwi kubaki huru mtaani achia mbali kubaki kazini. Kadhalika aliyempa rais hesabu za darasa la saba anadhani kwamba Tz ina abiria infinity ambao wanakiu ya kupanda kwenda kila mkoa Tz may be angefanya research angegundua kwamba ipo mikoa mingine hata mabasi hayaendi maana hakuna shughuli za kibiashara. Angelijuwa hili labda ununuzi wa ndege usingekuwa priority kwa sasa.
Nashangaa kwanini aliyemdanganya rais hajatumbuliwa kwa jambia au shoka!
mleta mada na wewe umekosea kidogo.. bei ya mafuta uliyoweka hapo ni sawa na kusema lita moja ya jet fuel ni 1633.622 Tshs, bei chini kulinganisha na mafuta ya taa.. hii sio sahihi.Awali ya yote nichukue fursa hii kumpongeza Mkuu wa Kaya yetu kwa moyo wake wa kizalendo wa kutuletea ndege mbili mpya ili kufufua shirika letu ambalo wenzie walilitafuna na kulifilisi. Japo haohao ndio wanaomshangilia kama vile waliofilisi shirika hilo siyo wao.
Mkuu wa Kaya umedanganywa kuhusu gharama za usafiri wa ndege Dar to Songea. Amesema kuwa ndege za kawaida zinaweza kutumia mafuta ya milioni 28 kutoka Dar to Songea lakini ndege mpya za Bombadier Q400 zitatumia mafuta ya milioni 1 tu. Mimi sio mtaalamu wa ndege lakini taarifa imenifanya kufanya utafiti kidogo
Katika kajiutafiti kangu nimegundua kiwango cha mafuta ya ndege kwa safari hakipo constant. Kinatofautiana kutokana na sababu anuai, kama vile aina ya ndege, umbali wa safari, uzito wa mzigo wa kwenye cabin, kimo kutoka usawa wa bahari, namna ya kupaa. Vyote hivi huchangia utofauti wa utumiaji wa mafuta ktk ndege.
Katika hayo tuchukue moja la aina ya ndege na hayo mengi yawe constant (under ceteris peribus). Mkuu wa Kaya amesema "ndege nyingine" zitatumia mafuta ya mil.28 kutoka Dar kwenda Songea, lakini Bombadier zetu zitatumia mafuta ya milioni 1 tu. Tuchukulie mfano wa ndege aina ya Boeing 777 yenye uwezo wa kubeba abiria hadi 450 (mara 6 zaidi ya Bombadier zetu).
Umbali wa Dar to Songea kwa barabara ni maili 655 sawa na kilomita 1,054. Lakini kwa anga ni maili 364 sawa na kilomita 585. Boeing 777 inauwezo wa kukimbia kwa speed ya maili 590 kwa saa, sawa na kilomita 949 kwa saa. Kwahiyo ikisafiri kutoka Dar to Songea (kilomita 585) itatumia mwendo wa dakika 36 tu.
www.distancecalculator.net
Mafuta ya ndege hupimwa kwa galoni (US Liquid gallon) ambapo galoni moja ni sawa na lita 3.7 za ujazo. Boeing 777 inatumia galoni 14.4 za mafuta kwa injini moja kwa dakika (1 lg/engine/minute). Boeing 777 ina injini mbili za "Rolls Royce trent 892" zinazotumia galoni 28.8 za mafuta kwa dakika moja (ingia hapa ). Hivyo basi kwa dakika 36 itakazotumia kutoka Dar to Songea itatumia galoni 1,036.
www.askcaptainlim.com
Galoni moja ya mafuta (US liquid gallon) ina lita 3.7 za ujazo. Kwahiyo galoni 1,036 ni sawa na lita 3,836. Bei ya mafuta ya ndege (jet fuel) katika soko la Marekani ni dola 1.38 kwa galoni moja kwa bei ya September 1 mwaka huu. Kwa Tanzania sijui bei ni kiasi gani, lakini tukadirie ni mara mbili ya bei ya Marekani, yani dola 2.76 kwa galoni moja ya lita 3.7.
www.flightdeckfriend.com
Kwahiyo tukitaka kujua gharama za mafuta ya Boeing 777 kutoka Dar kwenda Songea tunachukua galoni 1,036 mara dola 2.76, mara bei ya dola kwa leo ambayo ni TZS 2,182/=. Utapata Shilingi 6,239,123/=. Hii ndio gharama halisi ya mafuta ambayo Boeing 777 itatumia kutoka Dar to Songea.
Maana yake ni kwamba Boeing 777 itatumia mafuta ya milioni 6.2 kupeleka abiria 450 Songea kutokea Dar.
Sasa twende kwenye Bombadier zetu ambazo Mkuu wa Kaya amesema zinatumia mafuta ya milioni 1 tu kwa safari ya Dar - Songea. Bombadier Q400 inatumia mafuta ya milioni 1 kusafirisha abiria 75 tu kutoka Dar to Songea.
Kwahiyo kama kuna abiria 450 wa kwenda Songea, ndege ya Boeing 777 itawabeba wote na itakwenda mara moja tu kwa mafuta ya milioni 6. Lakini Bombadier itabidi iende trip 6 ndipo iweze kuwamaliza. Yani iende kwa mafuta ya milioni 1, irudi kwa mafuta ya milioni 1 (round ya kwanza), iende tena kwa mafuta ya milioni 1 na kurudi kwa mafuta ya milioni moja (round ya pili). Hadi round zote 6 ziishe Bombadier yetu itakua imetumia mafuta ya milioni 12.
Maana yake ni kwamba Bombadier itaenda round 6 na itatumia mafuta ya milioni 12, kubeba abiria walewale ambao wangebebwa na Boeing 777 mara moja tu na kwa gharama ya mafuta ya milioni 6 tu.
Inaonekana hata waliompa taarifa Mkuu wa kaya hawakufanya utafiti wa kutosha kuhusu gharama, aliposikia mafuta ya milioni 1 Dar to Songea akaona ni gharama ndogo kumbe ndege pia inabeba abiria wachache.
Calculation ya gharama za mafuta lazima ziende sambamba na idadi ya abiria. .
[emoji116]
NAOMBA NIONGEZEE FACT NYINGINE KUONYESHA KUWA MKUU WA KAYA ALIDANGANYWA.
Kwa kutumia yale makadirio
1 US Gallon = 3.7 Lita
Dhamani ya Dola ni Tshs 2,182
Kwahiyo,
Kama 3.7 Lita = 2.76 US Dolla
1 Lita = 0.8 US Dolla
Kumbuka Bombadier Q400 inatumia Lita 7 @ Maili
Dar to Songea ni 364 Maili
Angalia hapa:
LITA 7 × 364 MAILI × 0.8 DOLA @ LITA × 2182 TSH (Thamani ya Shilingi @ Dola) = 4,447,788.8 TSHS
KWAHIYO;
GHARAMA YA NDEGE TULIYONUNUA KUSAFIRISHA ABIRIA 75 KUTOKA DAR - SONGEA KWA SAFARI MOJA TU NI 4,447,788.8 TSHS.
Nani alimuambia Mkuu wa Kaya ni 1,000,000 TSHS?
ALIYEMDANGANYA MKUU WA KAYA AADHIBIWE....
NAIPENDA TANZANIA NAWACHUKIA WAPIGA DILI.
kabombe;fanyeni kazi,kazi kudukua magufuli kaongea nini mpate pa kusemea
Mmmh...basi basi...Awali ya yote nichukue fursa hii kumpongeza Mkuu wa Kaya yetu kwa moyo wake wa kizalendo wa kutuletea ndege mbili mpya ili kufufua shirika letu ambalo wenzie walilitafuna na kulifilisi. Japo haohao ndio wanaomshangilia kama vile waliofilisi shirika hilo siyo wao.

Asante Mkuu.mleta mada na wewe umekosea kidogo.. bei ya mafuta uliyoweka hapo ni sawa na kusema lita moja ya jet fuel ni 1633.622 Tshs, bei chini kulinganisha na mafuta ya taa.. hii sio sahihi.
mfano tu nikupe.. wa ukweli kabisa. fastjet airbus zile unazozijua zinatumia mafuta ya 8m kwa safari ya dar to Kilimanjaro, na precission air ambazo ni pangaboy zinatumia 3m kwa safari hiyo ambayo ni almost the same km na songea.
lakin ukweli ni kwamba hauwez kutumia 1m ya mafuta kwa safari ya ndege.. alichanganya na siasa kidogo kunogesha sherehe.. ila bado uchambuzi wako huu hauleti picha ya gharama halisi za usafiri huo. karekebishe kidogo, you are almost there.
Asante kwa kunielewa. Bei ya mafuta nime-assumeDar to Songea ni kama 316 nautical miles
Fuel burn ya Bombardier Q400 ni kama Gallon 372.88 ama lita 1,408 za Aviation Fuel kwa rate ya 1.17 gallon per nautical mile
Je lita 1,408 ni sawa na Tshs 1 Million???
Ina maana kita moja ni Tsh 710?
Hoja hapa sio kutua songea ila ni gharama za uendeshaji acha mihemko tulia ...Boeing ya watu 450 kwanza haiwezi kutua songea
Hoja yako inaweza kuwa na substance. Lakini jee tunao abiria 450 wa kupanda Boeing 777 kwenda Songea Kwa wakati mmoja? Nadhani walimshauri Mkuu wa Kaya waliangalia vigezo kadhaa ikiwemo ulichokijengea hoja.
Hivi huyo Magufuli wako ni malaika asiambiwe hata lenye uhalisia. Kwani umeshawahi kumuona yeyote miongoni mwa wakosoaji wake amebisha hodi mlangoni kwako kuomba chakula. Fikiri kabla ya kutoa comment.fanyeni kazi,kazi kudukua magufuli kaongea nini mpate pa kusemea