Nani amemdanganya Mkuu wa Kaya?

Nani amemdanganya Mkuu wa Kaya?

b191 nenda kapeleleze vizuri ulaji wa mafuta wa boeing 777 nahisi na wewe unadanganya watu humu.
 
Ndugu ametoa hoja na hoja yake IPO kihesabu sana na daima hesabu haiongopi hta km utaikadiria sema unaweza jidanganya ww mkadiriaji. Mtoa mada amejaribu kuonyesha kwa mfano TU sio kiuhalisia lkn ww pia unayempinga unaweza kuja na mkoa au mahali pengine kisha ukaweka hesabu zako kisha tulinganishe tena na yupo sahihi lkn km huna uhakika Rudi ukasome na ufanye na tafiti kisha urudi kupinga kwa hoja na sio kebehi.
Kupenda kusitufanye tukawa vipofu kabisa tujaribu na kupapasa basi kidogo.
 
unaamini utapata faina ukitembeza robo capacity ya 777 kupeleka songea hujui unapotembeza ndege kuna depreciation and maintenance. Kwani lazima kucritises kila kitu hata kama huna hoja?
Hujui usemalo wakati mwingine ni busara kukaa kimya.

Kama ni mpandaji wa ndege mara kwa mara ungeelewa.
 
Hujui usemalo wakati mwingine ni busara kukaa kimya.

Kama ni mpandaji wa ndege mara kwa mara ungeelewa.
nakujibu nipo kwenye ndege pole sana unaweza kujieleza nikaelewa wacha kutumia nguvu tumia busara kuelewesha siyo kashfa
 
fanyeni kazi,kazi kudukua magufuli kaongea nini mpate pa kusemea
hii ndio kazi basi kama hujui..
na kama hakuambiwa haya ndo ameambiwa ili ajifunze kuacha kukurupuka
awe na POOOZZZZZ....
Tumepigwa nchanga wa jicho...
malori ya mizigo kutoka DAR kwenda songea yanatumia lita ngapi...
 
Aisee kweli hesabu hazidanganyi, wamemdanganya Raisi
Jamani usikubaliane naye moja kwa moja, comparison aliyofanya sio realistic hata kidogo. JPM alizungumzia jet kama Fastjet na bombardier sio boeng na bombardier. sasa atuletee ulinganisho wa ndege kama fastjet ambazo kiuhalisia ndio tulizonazo kwenye mazingira yetu na alinganishe sasa bombardier tuone sasa gharama zake
 
MKUU UNATAKA NA DATA ZA FAST JET?

Naweza kukuwekea.
 
nakujibu nipo kwenye ndege pole sana unaweza kujieleza nikaelewa wacha kutumia nguvu tumia busara kuelewesha siyo kashfa
Kwenye topic nime-assume all other factors are costant.
 
Hesabu zako zinaulakini na haziko sawa achilia mbali factor zingine ambazo hujazigusia kabisa. We ndio umepotosha... mfano unaposema bei ya jet fuel per gallon ni mara mbili ya bei iliyopo USA then bei ya gallon una ifanya kuwa bei ya lita unapopiga hesabu za Q400 ni upotoshaji.
 
KWAHIYO;
GHARAMA YA NDEGE TULIYONUNUA KUSAFIRISHA ABIRIA 75 KUTOKA DAR - SONGEA KWA SAFARI MOJA TU NI 4,447,788.8 TSHS.

Nani alimuambia Mkuu wa Kaya ni 1,000,000 TSHS?

ALIYEMDANGANYA MKUU WA KAYA AADHIBIWE....

NAIPENDA TANZANIA NAWACHUKIA WAPIGA DILI.

Usijali, bado nafuu. Vipi umeshapanda Bombardier?
 
Wewe mdau mleta mada kias flan hauko sawa.kama trip moja ya Bomberdier ni abiria 75, kwenda na kurudi si abiria 150? Na ili upate hao 450 itahitaj trip 3. Au mwenzetu ulichukulia inarud na ruban tu bila abiria wala chochote? Au hiyo 1 million sio return trip?
Ili kuwamaliza 450 itabidi iende na kurudi na inaporudi kuwabeba wengine 75 inatumia mafuta pia so jumla inakuwa trip 3 za kwenda na kurudi jumla trip 6
 
Hesabu zako zinaulakini na haziko sawa achilia mbali factor zingine ambazo hujazigusia kabisa. We ndio umepotosha... mfano unaposema bei ya jet fuel per gallon ni mara mbili ya bei iliyopo USA then bei ya gallon una ifanya kuwa bei ya lita unapopiga hesabu za Q400 ni upotoshaji.
Soma tena upate concept vizuri.
 
Nimesoma tena na tena sijaiona concept... zaidi ya ukosoaji usio na tija. Ulitaka tuwe na midege mikubwa kwa domestic use ili iweje? Ebu Rudia kulipitia na wewe ujione fikira zako zilivyo.

Jiuleze haya kabla....Ni watanzania wangapi na wageni wangapi hutumia usafiri wa anga nchini kwa siku? Kwa route zipi?

Aina gani ya viwanja tulivyonavyo? Vipato vya watu wetu wa ndani Vikoje? Zipi changamoto za usafiri wa anga?
 
Concept yangu siyo ndege ya aina gani, ila ni takwimu zisizo sahihi za ulaji mafuta kwa ndege. Hapo ndipo tulipodanganywa.

Ukijikita na hiyo concept utanielewa vizuri.
 
Back
Top Bottom