Pamoja sana mkuu ,Ila kumbuka damu pia ni nyekunduSatoh Hirosh -Unazi uendelee, sema mwanangu inabidi uhame huko kwa makolo kwasababu hujazaliwa nao ila tunaendelea kufarahia michango yako ndani ya jukwaa letu na kuishi kama familia
Mwifwa -Moja kati ya watu wanaonifanya niendelee kuwepo jukwaa hili kwa fact zao konki za michezo
Dabil -Ukiondoa unazi ulionao kwa makolo ila tunafurahia uwepo wako mkuu ktk jukwaa letu
Wabheja sana mtaniJF ktk jukwaa la Michezo imekuwa ni sehemu iliyotufanya tusijikie wapweke kabisa, Wanachama wafuatao wamelifanya jukwaa hili kuwa sehemu salama zaidi ya kuwepo Jf:-
Scars-Mtu wa kutoa changamoto ktk maada mbalimbali za kimichezo na mnazi kweli wa Simba SC
ESPRESSO COFFEE -Nashukuru kwa kuanzisha kwako kwa nyuzi za live updates za michezo mbalimbali ya ligi kuu ya Tanzania Bara
demigod - Tunashukuru kwa nyuzi zako za kufikirisha kuhusu michezo na kutoa changamoto ktk mada mbalimbali pia kwa unazi wako kwa timu ya Dar es Salaam Young Africans
ChamasonMorisonBwalyason -Tunashuru kwa uchangiaji wako uliotukuka ktk jukwaa letu la Michezo humu JF na pia kwa unazi ulionao kwa Simba SC
NAWATAFUNA -Tunashukuru kwa jitihada zako za kuchangamsha jukwaa hili na pia kwa unazi wako kwa Simba Sc
denooJ-Tunashukuru kwa nguvu zako ulizoweka ktk jukwaa hili la Michezo na uchangiaji wako uliotukuka na hongera kwa unazi wako kwa Dar es Salaam Young Africans
Nyamizi - Tunashukuru kwa unazi wako uliotukuka kwa Simba SC na uchangiaji wako mzuri ndani ya jukwaa hili na kujihisi sisi ni familia moja
Narudi tena kuendelea kutoa shout out kwa wanachama wote waliofanya jukwaa hili kuwa bora zaidi
Nguvu moja kiongozi ✊
Mtani Scars asante kwa kunitag na kutambua mchango wangu, tupo pamoja mkuuSent Kb
blogger
Nyonzo bin mvule
Ahmad Abdurahman
Penison
Kennedy
JembeKillo
barafuyamoto
Nyamizi
Bado list ni ndefu
Daah umenipendelea sana mkuu. Mara nyingi naonekana sana kwenye michuano mikubwa na mechi sensitive.Kitimoto mzee wa dislike
desayi
Matola
ukikaidi utapigwa2
kurlzawa
Frumence M Kyauke
SAGAI GALGANO
PTER
Dabil
juma mpemba
MALCOM LUMUMBA utopolo lia lia
Mac Alpho
Its Pancho utopwinyo
Mbaga III
Mwifwa ningefanya kosa kubwa kukusahau
Ila mechi ya kesho tuombe Mungu ni ngumu, tukishinda hiyo .........Wanangu wa kwenye special thread ya Arsenal, Tuombe Mungu sana timu yetu iendelee na moto walioanza nao mpk mwisho wa msimu angalau tupate nafasi ya kwenye top 4
Castr Relief Mirzska Jackwillpower Will Jr ERoni mysterio computerarsenal
Mkuu Yaani Huna Mahaba KabisaMimi na mpira mbalimbali
Jamaa anaharibugi kwa kuendekeza usimba mwingiKwa kuangalia facts na bila kuweka ushabiki wa Usimba na Uyanga Kama ilivo kwa wengi me nitaenda na FORTALEZA
Kuna mdau hapo inabidi mtaje Id zake zootee..haaahWadau wa betting wamesahaulika hapa jukwaaani kutajwa
Me huwa mara nyingi napita kuwasima kimyakimya nawakubali sana
ChamasonMorisonBwalyason
Scars
OKW BOBAN SUNZU
GENTAMYCINE na zile akaunti zake zote
FORTALEZA
Dabil
Sent Kb
Mwifwa hasa kwenye Euro2020
Coffee mzee wa live updates
Inawezekana ikawa uko sahihi Mkuu, ila huyu kwenye swala la mahaba anajitahidi Sana kuwa balanced, hao wengine ni too Much aiseeJamaa anaharibugi kwa kuendekeza usimba mwingi
Nashukuru sana ndugu kolo for your appreciation. Kwenye jukwaa la michezo bila ww na ndugu kerozene, okwi boban sunzu na bwalyasonmorison n.k. Jukwaa linachangamka sana.Sent Kb
blogger
Nyonzo bin mvule
Ahmad Abdurahman
Penison
Kennedy
JembeKillo
barafuyamoto
Nyamizi
Bado list ni ndefu
Mzee wa "Mnaonaje wakuu tukimuuza B.Fernandes na kumrudisha Tom Cleverley??,,pale katikati panapwaya sana"..Nyoka mwenye makengezaa huyu mwamba ananifurahisha sana kule MUFC