1.Define Mungu ni nini.Ndio unanishambulia kwa sababu hata mie ningetaka ningekushambulia kwa, kushindwa kutofautisha uthibitisho na definition.
Tatizo siku zote nakwambia unaupenda ubishi ila hauwezi na ndio maana unatoka nje ya mada na kuanza kuni attack hauwezi kusimamia hoja yako hadi mwisho, wewe ilimradi ubishane tu.
Nishasema "pembetatu duara ipo" bila uthibitisho.Hutakiwi kuprove kivp na wakati unatoa madai kuwa kitu fulani hakipo? Kwa sababu kama unauhakika kabisa kuwa kitu fulani hakipo maana yake una ushahidi na hivyo unaweza kuthibitisha kuwa usemacho ni kweli.
Hata mwenzenu Kiranga humu kakiri kuwa huwezi kusema kitu fulani kipo au hakipo tu pasina uthibitisho, sasa wewe bado unatuambia et hutakiwi kuthibitisha sasa tutahakiki vp msemacho kuwa ndio kweli kwamba Mungu hakuna?
Shetani wewe
Hivi unajuaje au unakijuaje kitu ambacho hakipo ?
Ndo shida yenu, hamnaga hojaShetani wewe
Halafu ili iweje?1.Define Mungu ni nini.
2.Thibitisha Mungu yupo.
Haya jibu sasa kuwa huwezi kuthibitisha Hakuna Mungu au unaweza ila hutakiwi kuthibitisha?Nishasema "pembetatu duara ipo" bila uthibitisho.
Nishasema "kisichopo kipo" bila uthibitisho.
Wewe unajua tofauti ya "huwezi" na "hutakiwi"?
Kiswahili tu kinakupiga chenga, unataka kurukia mijadala ya falsafa za Mungu na mantiki ya kina?
1. Define Mungu ni nini.
2. Thibitisha Mungu yupo.
Hujajibu swali.Sababu hakuna ushahidi kwamba kipo
Huyo haa uwezo wa kujibu hilo swali wala hawakuwahi kujibu hilo,hapo anapoteza muda tu. Ukitaka kuona hivi vituko hata wakubwa zao wanazo hizi tabia msome Richard Dawkins katika kitabu chake "The God Delusion",utacheka mno, au soma kitabu kiitwacho "Why Evolution is True" cha Jerry Coyne. Hawajui kujibu hoja hawa zaidi ya kucheza na maneno na kupoteza muda.Haya jibu sasa kuwa huwezi kuthibitisha Hakuna Mungu au unaweza ila hutakiwi kuthibitisha?
Hutakiwi kuprove kivp na wakati unatoa madai kuwa kitu fulani hakipo? Kwa sababu kama unauhakika kabisa kuwa kitu fulani hakipo maana yake una ushahidi na hivyo unaweza kuthibitisha kuwa usemacho ni kweli.
Hata mwenzenu Kiranga humu kakiri kuwa huwezi kusema kitu fulani kipo au hakipo tu pasina uthibitisho, sasa wewe bado unatuambia et hutakiwi kuthibitisha sasa tutahakiki vp msemacho kuwa ndio kweli kwamba Mungu hakuna?
Ukiwachallange uelewa wao katika hiyo misimamo yao ndio unaona walivyoweupe, ndio maana hawataki kuulizwa maswali wanataka waulize wao wapinge basi.Huyo haa uwezo wa kujibu hilo swali wala hawakuwahi kujibu hilo,hapo anapoteza muda tu. Ukitaka kuona hivi vituko hata wakubwa zao wanazo hizi tabia msome Richard Dawkins katika kitabu chake "The God Delusion",utacheka mno, au soma kitabu kiitwacho "Why Evolution is True" cha Jerry Coyne. Hawajui kujibu hoja hawa zaidi ya kucheza na maneno na kupoteza muda.
Mimi ndio maana huwa kuna maswali nawauliza lengo sio kupata majibu kwao, bali kuwaonyesha ujinga wao ulipo.
Wanafanana sasa hawa jamaa.
Ndio niniGTFO
Hii ndio tabia yao sasa.Ukiwachallange uelewa wao katika hiyo misimamo yao ndio unaona walivyoweupe, ndio maana hawataki kuulizwa maswali wanataka waulize wao wapinge basi.
Niulize mimi maswali...naona mnapeana moyoUkiwachallange uelewa wao katika hiyo misimamo yao ndio unaona walivyoweupe, ndio maana hawataki kuulizwa maswali wanataka waulize wao wapinge basi.
Mungu gani unamuoengelea hapa?Haya jibu sasa kuwa huwezi kuthibitisha Hakuna Mungu au unaweza ila hutakiwi kuthibitisha?
Tujadiliane kimantiki.Halafu ili iweje?
Mungu gani?Haya jibu sasa kuwa huwezi kuthibitisha Hakuna Mungu au unaweza ila hutakiwi kuthibitisha?
Sijauliza hilo swali, bali nimewasilisha swali la Wajinga fulani, ambao huwa wanajiona wana akili na kufikiria sana kuliko wengine.
Hamna chuki hapo, ila nimeandika ya kweli na yanayotoka moyoni mwangu.Kwa nini una chuki kwa watu wasiomuamini Allah?