Mfano umekuja kwangu halafu haujanikuta .. Kisha umerudi kwako mkeo akakuuliza hearly yupo ukamjibu hayupo halafu yeye akakuambia kuwa nipo ...unadhani ni nani kati yenu atakaye paswa kuthibitisha kuwa nipo ni wewe ambaye umekuja kwangu halafu umekuta sipo au yeye anaye ng'ang'ania kuwa nipo?Tumia akili japo kidogo kufikiri kwamba mtu anadai kuwa kitu fulani hakipo, sasa tutawezaje kujua kuwa anachosema ni kweli?
Kwanini una amini kutokuonekana na kutojulikana kwake ndio uthibitisho?Uthibitisho pekee ni kutokuonekana kwa mungu,kutokujulikana kwa mwanzo na mwisho wake na kutokujulikana muonekano wala umbo lake,lakini kama angekuwa anajulikana katika hayo basi asingekuwa Mungu tena.
"Ambacho hakipo""Ambacho hakipo" ndio nini mnyama, mtu chakula au nini?
Swali rahisi sana, labda kama una matatizi ya akili. THIBITISHA UNAYO YAANDIKA, UNASHINDWA.Mwanzo kabisa niliandika allah ni pepo ambalo limeumbwa na Othman.
Sikubahatisha, kwanza Othman ndiye kaitengeneza hiyo koran unayoitumia sasa tatu katengeneza hizo blunder mbili kwanza ziko tatu moja nimeiweka kiporo.
Mungu aliyehai hawezi kufanya hizo blunder ni jini pekee.
Wewe unaamini cha kwanza kuumbwa ni kalamu? Unaamini Mungu anakaa kwenye wingu? Rubbish!
.
Nikijadili kama GT sasa allah ni pepo tu na pepo always huwa ni muharibifu hajengi anabomoa.
Imani yako imeanza na kubomoa kilichokuwepo na kuleta kitu kipya hiyo ni sifa ya pepo.
Poa.
Ina maana hujui unacho egemea sio ?Wewe umeweka hadithi au aya gani ya Qur'an inayosema kwamba Mtu YEYOTE anayehoji kuumbwa kwa Mungu ni Muongo na tapeli??
Unanitaka mimi nioe aya kwani mimi ndio nitoaye hayo madai??? -- wewe ndiye unayetakiwa kwanza kuthibitisha madai yako kwa aya na hadithi sahihi za Alrasulullah (saw) mbora wa manabii.
Namsubiri huyo teacher wako umlete hapa aje kujibu kwani haya ni maji marefu kwako.
1. Inawezekana hakijui, na hapo definition ni sehemu ya uthibitisho, maana unaweza kuanza kuelezea kitu bila kuki define ikawa huja make sense.Kudai uthibitisho wa kitu ni kudai definition ya hicho kitu?!!
Ina maana mwenye kutaka uthibitisho wa kitu ni kwamba hakijui hicho kitu ni nini?
kosoa hoja unalalama.
Hujakosoa hata sehemu moja na huna uwezo huo.Nitakosoa hoja mara ngapi??---
Nitarudia, Hoja ya msingi ni hii; sio sawa kumuita Muongo, Tapeli nk, Mtu YEYOTE anayeuliza; je Mungu kaumbwa??.
Kujua uongo au utapeli nk, wa mtu anayeuliza swali hilo ni kitu kilichojificha na Yule anayeweza kujua mambo yaliyomo katika nafsi ya mtu ni Alghuyyub yaani ni Allah pekee.
Anapotokea mtu na akajipachika hicho cheo cha Mungu huyo ni Mshirikina, anajifanya yeye ni Mungu, ameshirikiana na Mungu kwa uongo sifa isiyomuhusu na isiyomtosha.
Hakuna dhambi kubwa kuliko zote zaidi ya Ushirikina, mtu asipotubu dhambi ya ushirikina hapa duniani siku ya akhera Mungu anaweza kusamehe dhambi zingine ila kamwe hasamehi dhambi ya ushirikina, ni lazima atakuadhibu tu.
Upo hapo???, mwambie huyo mwalimu wako uliyemficha aache Ushirikina.
Sasa muda wote ulikuwa unajadili nini humu ikiwa uzi unahusu Mungu na wewe hujui kabisa Mungu ni kitu gani hujawahi kusikia hilo neno?Ndiyo
Mie sijauliza ni nani anayetakiwa kuthibitisha kati ya anayesema kipo na anayesema hakipo, nimeuliza kuwa tunawezaje kujua ukweli wa madai ya mtu anayesema kitu fulani hakipo?Mfano umekuja kwangu halafu haujanikuta .. Kisha umerudi kwako mkeo akakuuliza hearly yupo ukamjibu hayupo halafu yeye akamuambia kuwa yupo ...unadhani ni nani kati yenu atakaye paswa kuthibitisha kuwa nipo ni wewe ambaye umekuja kwangu halafu umekuta sipo au yeye anaye ng'ang'ania kuwa nipo ??
Kitu ambacho hakipo kinathibitishwa vipi kuwa hakipo ??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu nlimuazima simu Nimekuta jamaa alikuwa anatumia id yangu.Sasa muda wote ulikuwa unajadili nini humu ikiwa uzi unahusu Mungu na wewe hujui kabisa Mungu ni kitu gani hujawahi kusikia hilo neno?
Yani kwahiyo kumbe muda wote ulikuwa unajadili kitu ambacho hukijui kabisa.
Mungu yupi huyo hajulikani umbo?Mungu yupo hakuumbwa bali yeye ndie muumbaji wa kila kitu kile tunachokijua na tusichokijua.
Hana mwanzo wala mwisho,hana mfano wa kitu chochote,hajulikana umbo wala muonekano wake.
Hajui anachokizungumza huyo.Mungu yupi huyo hajulikani umbo?
Mungu wa wahindu ni ng'ombe
Mungu wa waarabu ana mguu mmoja na mikono miwili upande mmoja
Hilo jibu ndo la ukweli kuliko yote, sema umeniwahi kujibuMungu ameumbwa na akili za binadamu.
Huwa sipendi maswali yasiyo na msingi na ndiyo hizi mada huwa hazina mafanikio kila siku tunarudia palepale, haiwezekani wewe uanze kujadili mada toka huko mwanzo halafu et sasa ndio useme hujui maana ya kitu unachokijadili. Bora ungekuwa na shida na definition ya Mungu maana wakati mwengine watu hutofautiana kwenye definition za maneno ila wewe unasema hujui kabisa hilo neno na ndio mara yako ya kwanza kusikiaKuna mtu nlimuazima simu Nimekuta jamaa alikuwa anatumia id yangu.
Anyways acha chenga za pele
Mungu ni nini?
Hujakosoa hata sehemu moja na huna uwezo huo.
Simchezo, naona una rula rula ulianza kwenye kupewa kiswahili cha Sophist, ukaja kwenye bida'a nao a umeamua kuja kwenye Ushirikina, ambao huwezi kuthibitisha hilo. Ushirikina wake uko wapi ? Nimekuuliza hili swali,najua huwezi kulijibu ila naonyesha ujinga wako ulipo.
Nakuacha na swali hili, USHIRIKINA ni nini ?
Huna hona, umeamua kuwazulia watu UONGO sasa.
Nipo...