Nani aliyemuumba Mungu?

Wanajiwekea difference mechanism kwa sababu wanajua hawana majibu ya maswali wanayoulizwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha clap clap clap

Sent using Jamii Forums mobile app
 
That is very true, kwa maoni yao ya ajabu wanasema; ukiuliza swali au maswali kama hayo wewe unakuwa, Mjinga, Muongo, mdanganyifu, maamuma, na Sophist. -- sasa huo uongo (deception) unatokea wapi katika kuuliza??!![emoji1787]
Imagine !!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaa zurri kashikwa pabaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee hahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu yupo hakuumbwa bali yeye ndie muumbaji wa kila kitu kile tunachokijua na tusichokijua.
Hana mwanzo wala mwisho,hana mfano wa kitu chochote,hajulikana umbo wala muonekano wake.
 
Hahaaa

Haya uliyoyasema ni imani yako tu au ndio ukweli? kama ni ukweli leta uthibitisho wa maneno yako.
 
Hahaa noted

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya uliyoyasema ni imani yako tu au ndio ukweli? kama ni ukweli leta uthibitisho wa maneno yako.
Uthibitisho pekee ni kutokuonekana kwa mungu,kutokujulikana kwa mwanzo na mwisho wake na kutokujulikana muonekano wala umbo lake,lakini kama angekuwa anajulikana katika hayo basi asingekuwa Mungu tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…