Nani aliyeiua CHADEMA chuoni UDSM?

Nani aliyeiua CHADEMA chuoni UDSM?

1.Waasisi wa chaso vyuoni ni juliana shonza, mtela mwampamba na joseph ludovick, na hawa wote wametoswa chadema, make your own mind
2. Ubaguzi mkubwa unaoendelea ndani ya chadema, kuna baadhi ya watu ni wapenzi wa viongozi ie wanapendwa wakati wengine hawapendwi. Mf rejea maelezo na tuhuma za makam mwenyekiti wa bavicha juliana shonza kwa viongozi wa juu wa chadema baada ya kufukuzwa uongozi bavicha.
3. Matumizi mabaya ya resources za bavicha ambapo wachche wamezihodhi
4.kuishiwa mbinu mpya viongozi wa chadema waliopo madarakani
5.viongozi wa chadema waliopo madarakani kupoteza mvuto na ushawishi
6.kukumbatia uhafidhina
7.siasa za utapeli na ulaghsi na vurugu mf. Chaso udom mwaka jana waliandamanishwa hadi bungeni, mambo yalipowawia ugumu, viongozi wa chadema waliokuwa wanawahamasisha kugoma wakazima simu na kupoteza mawasiliano na chaso udom, vijanabwakafukuzwa masomo

umetoa povu nyingi sana umeshindwa kutofautisha uwezo wa mtu na kilema chake kama unaendekeza kilema chako kikutawale kuliko kutumia akili uliyojaliwa na mwenyezi mungu lazima utapata shida sana duniani huo ndi ukweli. kwa sababu wameanzisha chaso waachwe hata kama wamefanya makosa makubwa? kama ndio unavyofikiri wewe ni ----- kabisa na utapata taabu sana.
 
Thibitisha kama wanogombea wana afliation na vya vya siasa tufukuze maana by law ya udsm inasema hivyo


Kwani ni siri?

UDSM wanajua lakini hawalisemei kwa kuwa hata CCM nao wako katika mkumbo huo.
 
Mkandala kaiua...chuo kafate elimu...ukijifanya mwanaharakati unafukuzwa,very few can be that sacrificial
 
Chadema msitafute mchawi waliyeiua Chadema UDSM ni viongozi wa Chadema, ...
Mkuu, na wewe unachangia mada ya vyuo vya elimu ya juu? Kwani unajuaje kinachoendelea huku?
 
tulikutana siku kadhaa na kuchagua majembe wapya ambao majina yao ni maarufu pale square na mzikiwao unatambulika so tunakuja tena
 
Njaa ni shida sana jamani inawafanya wasomi wanakua watumwa et..
 
Chaso haiwezi kufa kamwe, ila lazima tukili wazi kuwa changamoto ni nyingi, lakini haziwezi kufanya chaso ikafa, pia kuna watu ndani ya chaso na bavicha wamekuwa ni kikwazo kwa chaso kusonga mbele, tumelibaini hilo na tunalifanyia kazi, hatuwezi krudishwa nyuma na wapuuzi wachache.
 
ubaguzi tu ndo unayo uwa chama mtu mwenye akili timamu hawezi shabikia chadema vigeugeu waroho wa madaraka viongozi wao wana uwezo mdogo wa kifikiria na hisi kufukuzwa kwa dr mkumbo ndo mwisho wa siasa za cdm
 
ubaguzi tu ndo unayo uwa chama mtu mwenye akili timamu hawezi shabikia chadema vigeugeu waroho wa madaraka viongozi wao wana uwezo mdogo wa kifikiria na hisi kufukuzwa kwa dr mkumbo ndo mwisho wa siasa za cdm
Huelewi hata umeandika nini nadhani watu aina yako ni tatizo kubwa linalolikabili taifa jika uchao mnaimba nyimbo na mapambio kwa madisadi wanaoliangamiza taifa,
 
CCM kusema ukweli imeundwa katika misingi mizuri sana. Nadhani hili ndio haswa suala linalovutia vijana wengi kujiunga na chama.
 
CHADEMA ndio mkombozi wa wananchi hata CCM mfanyeje. CDM inahitaji marekebisho katika uongozi tu mambo mengine yatakwenda sawa. Vijana msiogope kupigania haki yenu! Anayewatisha vyuoni hana maana kwa sababu nyie ni watu wenye akili na mnatakiwa mjue kuchanganua mambo. La msingi mnatakiwa muendeshe siasa kwa amani na weledi ili walio nje ya chuo wawaige mnachofanya.

Mnamwaga sera za CDM na kuzichambua na CCM inamwaga sera zaka na kuzichambua sisi wananchi ndio tutaamua ndani ya sanduku la kura. kwa mfano mpaka sasa chaguzi ziko karibu kabisa lakini maboresho la daftari la wapiga kura bado, nyie wasomi mnaona sawa? Hamtaki kupiga kura?
 
Nimeamini bila Chadema hakuna maisha kwa masalia ya magamba,
 
Ikiwa Kitaifa inaelekea kuzimu unategemea nini vyuoni?

Hivi unamjuwa Kinana au unamsikia tu?

It seems no one cares, even if situation of the country will continue to deteriorate, there is no way you will exclude yourself and your relatives from such messy! So, keep on celebrating!
 
INAKUFA VIPI WANACHAMA KUISHA AU HARAKATI ZA WAZI?HEMBU SIKU MOJA DR. SLAA AENDE PALE KWA KIPINDI MAALUMU AU MYIKA AU MBOWE HALAFU TUANGALIE CDM IPO WAPI KTK MIOYOYO YA WANAFUNZI...CCM kila maamuzi wanabugi.....sijui watajuaje nguvu ya CDM kwa akili hizi..wanasubiri surprise
 
Back
Top Bottom