Nani aliyeiua CHADEMA chuoni UDSM?

Nani aliyeiua CHADEMA chuoni UDSM?

INAKUFA VIPI WANACHAMA KUISHA AU HARAKATI ZA WAZI?HEMBU SIKU MOJA DR. SLAA AENDE PALE KWA KIPINDI MAALUMU AU MYIKA AU MBOWE HALAFU TUANGALIE CDM IPO WAPI KTK MIOYOYO YA WANAFUNZI...CCM kila maamuzi wanabugi.....sijui watajuaje nguvu ya CDM kwa akili hizi..wanasubiri surprise

Inakuwaje uongozi wa juu cdm haukagui uhai wa chama hapo udsm? Kuna mmoja ameuliza huko juu, wanafunzi vyuo vikuu hawataki kupiga kura? mbona kimya ktk mpango mzima wa kujiandikisha kitabu cha wapiga kura.. .mtafanyiwa ya 2010 ( vyuo vinafungwa siku tatu, mnabaki ubungo na viunga vyake na viparata vyenu....vya Tandaimba, gezaulole na .. ...havina kazi tena)

CDM.....janja ya ccm mnaiona kupitia kitabu cha wapiga kura? Tunataka matamko rasmi na nini tunafanya kuelekea October 2014-15.z
 
kama CDM imepooza udsm basi ht DARUSO ndo haipo kabisa., hatusikii kabisa harakati kuongozwa na serikali ya wanafunzi., kuna mdogo wng anasoma hapo lkn mwaka jana kidogo amalize semista bila kupata boom., KAZI YA DARUSO NI NINI?
 
Jana wanafunzi wameonekana wakigawana vipeperushi vya ACT Tanzania. Tayari kuna mama mmoja mfanyakazi anapita akijitangaza kuwa yeye ni mgombea wa serikali ya mtaa uenyekiti kupitia ACT Tanzania . Kazi ipo mwaka huu.
 
wanaopinga wanafunzi kujihusisha na siasa ni ccm.na wanaofungua matawi vyuo vikuu ni ccm.
 
Inakuwaje uongozi wa juu cdm haukagui uhai wa chama hapo udsm? Kuna mmoja ameuliza huko juu, wanafunzi vyuo vikuu hawataki kupiga kura? mbona kimya ktk mpango mzima wa kujiandikisha kitabu cha wapiga kura.. .mtafanyiwa ya 2010 ( vyuo vinafungwa siku tatu, mnabaki ubungo na viunga vyake na viparata vyenu....vya Tandaimba, gezaulole na .. ...havina kazi tena) CDM.....janja ya ccm mnaiona kupitia kitabu cha wapiga kura? Tunataka matamko rasmi na nini tunafanya kuelekea October 2014-15.z
Unachekesha sana..Chama kinajengwa na kushikiliwa tokea chini na si juu kuwabeba wananchi..CHAMA KINACHOSHIKILIWA TOKEA JUU HICHO NI CHAMA CHA WEZI AU MAMLUKI .NDIO MAANA CCM NDIO INAYOSHIKILIA WANACHAMA NA SI WANACHAMA WANAOSHIKIA CHAMA..Hiyo ndio nguvu ya umma..km hamuwezi changia chama ila mnataka chukua..ni kazi sana kuamini km mliwahi hata siku moja kuchangia ujenzi wa huduma za jamii ktk maeneo yenu.sijui hata km umewahi changia zibua mitaro inayowamwagia maji mtaani..
 
Back
Top Bottom