Nani aliyeiua CHADEMA chuoni UDSM?

Nani aliyeiua CHADEMA chuoni UDSM?

Chadema haijafa UDSM ni kote tuu

Hii ndio athari ya kufanya maamuzi bila kufanya impact assessment
 
i dont see any news here, all these was predicted long ago
 
Wasomi wa Vyuo vikuu hasa wasomi wa Sheria bado wanajiuliza Weledi wa Mwanasheria Mkuu wa Chadema Mh. Tundu Lissu kuanza kuhoji Sahihi za Waasisi wa Muungano wa Miaka 50, wakati anajua hata kama wasingeusaini kabisa huo Muungano lakini kwa Kutumia sheria Maarufu sana hata kwa Mtu mwenye Diploma ya Sheria Muungano huo bado ungekuwa Halali.
Law of Agency na Principle of Estopel zinahalalisha Muungano hata kama haukusainiwa sasa Msomi wa Shahada mbili za Sheria hajui hili.

Kama Tundu Lissu ana shahada mbili za Sheria lakini hajui Kanuni za Kisheria za kiwango cha Stashahada hapo hakuna chama ila Mkusanyiko wa watapanya Ruzuku na fedha za Sultan Mfadhili wa UKAWA.
 
Mbio za kilaghai huishia ukingoni.

CHADEMA kinavua kile ilichokichopanda kwa sasa kutokana na siasa zake za kilaghai.

CHADEMA hakiko kwa ustawi wa maendeleo ya wananchi wengi kisiasa bali kipo kwa ajiri ya kutumia siasa kama njia ya kutajirisha baadhi ya waasisi na viongozi wakuu wa chama.
 
upuuzi kabisa. unatuletea habari za uongozi wa viranja mashuleni kwenye jukwaa la siasa?
upuuzi kabisa huu.
uchaguzi wa kumpata Rais wa serikali ya wanafunzi udsm- DARUSO unafanyika keshokutwa jumatatu huku upinzani wa mkali wa miaka ya nyuma baina ya vyama vya siasa ukionekana kufifia sana, itakumbukwa kuwa miaka ya nyuma umoja wa wanafunzi wa chadema- chaso walikuwa wakitoana jasho vilivyo na vijana wa uvccm kwenye nyakati kama hizi lakini tangu kutoweka kwa kizazi cha kina Silinde, Owawa, Nassari Na Makamanda Wengine Kwenye 2009/2010 Basi Uvccm Imeonekana Kutawala Kabisa Siasa Za Udsm,. mfano mzuri ni serikali inayomaliza muda wake chini ya rais Kisanko Na Baraza Lake lote la mawaziri. pia kwasasa wagombea wote watatu Wa Urais Gibson, Nickson Na Mboya ni makada wa chama cha mapinduzi.
tathmini iliyofanywa na uvccm inaonyesha kuwa makada wake pia wameshinda asilimia 85 ya nafasi za ubunge kwenye college zote 10 zinazounda udsm!!!
najiuliza sana ni nani aliyeiua CHADEMA hapa udsm? mahali ilipokuwa ikitamba kuwa inaungwa mkono na wasomi? chaso ipo kweli? Gs Wa bavicha Munishi Na Heche Mpo Kweli???
 
Siasa ni ngumu haihitaji nguvu ya soda bali ni kuwa na malengo ya muda mrefu na mipango ya kisayansi kuhusu kuendesha chama. Mtu kama John Heche na mwenzie Munisi hawana uwezo wa kuongozo kurudumu la vijana Tanzania nzima kwasababu wapo kutekeleza matakwa ya viongozi wa juu na siyo kukijenga chama kupitia vijana ambayo ndiyo dhima ya Bavicha
 
upuuzi kabisa. unatuletea habari za uongozi wa viranja mashuleni kwenye jukwaa la siasa?
upuuzi kabisa huu.

Mrembo, matusi ya nini? Mbona wakati ule mlipokuwa mnatawala UDSM mlianzisha nyuzi kibao?
 
tuwekeeni hapa basi histori ya viongozi wa Daruso na political afliation zao. tunajua namna serikali inavyofanya vetting vyuoni kuhakikisha hakuna viongozi pro CHADEMA. ukiwataja wanachadema waliowahi kuwa viongozi wa Daruso wote wakati wanakua viongozi DARUSO walikua CCM. mfano kamanda waitara na John Mrema. waliojaribu kupigana walitimuliwa mbali mfano Mnyika.
ukifika Udom, wajua chuo hicho tangu uwepo wake tume yao ya uchaguzi haijawahi kupitisha pro chadema kugombea uraisi wa chuo. mfano Kanali Rwanko 2007 leo ni mwajiriwa Ccm. Malemi 2008 leo katibu ccm. inshort ukiwa pro chadema hakuna kupitishwA.
 
uchaguzi wa kumpata Rais wa serikali ya wanafunzi udsm- DARUSO unafanyika keshokutwa jumatatu huku upinzani wa mkali wa miaka ya nyuma baina ya vyama vya siasa ukionekana kufifia sana, itakumbukwa kuwa miaka ya nyuma umoja wa wanafunzi wa chadema- chaso walikuwa wakitoana jasho vilivyo na vijana wa uvccm kwenye nyakati kama hizi lakini tangu kutoweka kwa kizazi cha kina Silinde, Owawa, Nassari Na Makamanda Wengine Kwenye 2009/2010 Basi Uvccm Imeonekana Kutawala Kabisa Siasa Za Udsm,. mfano mzuri ni serikali inayomaliza muda wake chini ya rais Kisanko Na Baraza Lake lote la mawaziri. pia kwasasa wagombea wote watatu Wa Urais Gibson, Nickson Na Mboya ni makada wa chama cha mapinduzi.
tathmini iliyofanywa na uvccm inaonyesha kuwa makada wake pia wameshinda asilimia 85 ya nafasi za ubunge kwenye college zote 10 zinazounda udsm!!!
najiuliza sana ni nani aliyeiua CHADEMA hapa udsm? mahali ilipokuwa ikitamba kuwa inaungwa mkono na wasomi? chaso ipo kweli? Gs Wa bavicha Munishi Na Heche Mpo Kweli???

Sasa na nyinyi mnaowachagua hao ma-CCM bado mnajiita wana chuo wa UDSM? chemi chemi ya fikara huru? Mna tofauti gani na wanakijiji wanaopewa sabuni na chumvi once after five years kuipigia kura CCM? Enzi zetu mgombea akifahamika tu ni Pro CCM, hilo tu ilikuwa ni tiketi tosha ya kutopata uongozi wa DARUSO. Kwani Pro-CCM walikuwa hawakawii kuwauza wanafunzi kwa vipande 2 vya dinali kwa serikali. Kweli mambo yamebadilika sana. Nafikiri CCM wame create hii unemployment kama chambo cha kuwanasa wanafunzi wa vyuo vikuu, kutokana na hope ya kufikiliwa upendeleo wa ajira na CCM.
 
Kiukweli mtoa muda naweza akawa anasema ukweli lakini kwa namba na flani amewasilisha takwim zisizo za kweli. Mimi binafsi nilikuwa kampeni manager wa mgombea ubnge college moja na kashinda..ila suala la vyama vya Sasa kwenye uchahuzi wa wabunge halikuwepo kabisa.
 
hata hivyo siku hizi UDSM hata wenye 111 advance wanachukuliwa...pia imepunguza mvuto wa Chadema hapo.

Hujui unachoongea. kma ni kweli uvccm ndio wanarun siasa za udsm ni jambo jema naona vurugu zimepungua sasa hadi chuo kinapata mda wa kufanya maswala ya taaluma. Kuwa chuo cha 4 africa sio lelemama
 
Yani chadema kweli ni wajinga.
Yani WANAFANYA UZINZI HALAFU WANASHANGAA WAMEPATAJE UKIMWI???
Mchawi wenu mtafuteni pale UFIPA
 
Hujui unachoongea. kma ni kweli uvccm ndio wanarun siasa za udsm ni jambo jema naona vurugu zimepungua sasa hadi chuo kinapata mda wa kufanya maswala ya taaluma. Kuwa chuo cha 4 africa sio lelemama

Acha kuongea kama mshabiki wa ngumi.....UDSM imekuwa chuo cha 4 Africa kwa kuongozwa na UVCCM? kwanini CCM wasiongoze kama viongozi wa chuo ni blue eye wa madikteta CCM? we unaona hata quality ya wanafunzi UD ni kama zamani?.....
 
1.Waasisi wa chaso vyuoni ni juliana shonza, mtela mwampamba na joseph ludovick, na hawa wote wametoswa chadema, make your own mind
2. Ubaguzi mkubwa unaoendelea ndani ya chadema, kuna baadhi ya watu ni wapenzi wa viongozi ie wanapendwa wakati wengine hawapendwi. Mf rejea maelezo na tuhuma za makam mwenyekiti wa bavicha juliana shonza kwa viongozi wa juu wa chadema baada ya kufukuzwa uongozi bavicha.
3. Matumizi mabaya ya resources za bavicha ambapo wachche wamezihodhi
4.kuishiwa mbinu mpya viongozi wa chadema waliopo madarakani
5.viongozi wa chadema waliopo madarakani kupoteza mvuto na ushawishi
6.kukumbatia uhafidhina
7.siasa za utapeli na ulaghsi na vurugu mf. Chaso udom mwaka jana waliandamanishwa hadi bungeni, mambo yalipowawia ugumu, viongozi wa chadema waliokuwa wanawahamasisha kugoma wakazima simu na kupoteza mawasiliano na chaso udom, vijanabwakafukuzwa masomo

Kwenye nyekundu,

Uongo mtupu! Kwa taarifa yako walioasisi CHASO UDSM ni MWAKAJILA EMANUELI NA DEO MUNISHI. Hawa walikua wapambanaji wa ukweli wa CHADEMA UDSM ndio waliweka hata mipango ya kuanzisha na kutafuta ofisi. Mipango yao ilitibuliwa na kunji la 2008. rejea Kongamano kubwa na kihistoria walilofanya wanafunzi wa CHADEMA pale DDC 2008. Lilikua chini ya uratibu wa Mwakajila na Munishi.

Juliana, Mwampamba na wengine uliowataja ni wadandia gari tu.
 
Tatizo chadema hawabishani tena kwa hoja za ukweli bali hoja za kufikirka.
Hivi inahitaji digirii kujua umuhimu wa Dr.Kitilya na Zito kwenye siasa za Vyuo?

Ni ukweli usiopingika ukijishughulisha na shughuli za siasa haswa za upinzani vyuoni unijichimbia kaburii mwenyewe, wengi sana wamefukuzwa
 
Back
Top Bottom