djcastlelite
Senior Member
- Mar 8, 2014
- 159
- 21
Chadema ni mpango wa mungu
Njoo nikufundishe kitu we dada..... kama hujui mimi nimekulia UDSM academically.... nenda CONAS,CASS, COET na COED.... angalia walioingia na 3 sasa na miaka ya nyuma acha ushabiki we bint.... haya nenda kamchemshie mw..guru maji ya kuoga upate kula.... utakuwa mtumwa hadi siku ya mwisho... namuhurumia Mungu wako wa duniani
akili za ki-uvccm na ki-bavicha ni majanga kwa taifa hili. ewe mungu tuepushie mbali na janga hili.Mrembo, matusi ya nini? Mbona wakati ule mlipokuwa mnatawala UDSM mlianzisha nyuzi kibao?
Taja hao viongizi kutoka vyuo vingine nithibitishe.
akili za ki-uvccm na ki-bavicha ni majanga kwa taifa hili. ewe mungu tuepushie mbali na janga hili.
Kuna agizo la kufukuzwa mwanachuo yeyote anayejihusisha na upinzani hapa chuo kikuu.Agizo hilo lilitoka ccm.Wanachuo wengi kwa kuogopa kufukuzwa wameachana na siasa za wazi hapo chuoni.Lakini mioyoni mwao wamejaza imani ya Chadema.Na mimi ni mmoja wao.Nawaambia ccm tutaonana mitaani,mwaka huu namaliza chuo na baada ya hapo mtajua nnyakyala ni nani ndani ya Chadema.
Umekulia udsm unaaandika hivi?? Nina binti yangu anasoma chekechea anakuzidi kufikiri
Samahani dada Faiza,hivi wewe upo katika mrengo gani katika hizi siasa za bongo?Ikiwa Kitaifa inaelekea kuzimu unategemea nini vyuoni?
Hivi unamjuwa Kinana au unamsikia tu?
Hata ukiniita mjinga hauwezi kuiokoa Chadema kuelekea kuzimu.
Namjua sana tu..si yule jangili wa meno ya temboIkiwa Kitaifa inaelekea kuzimu unategemea nini vyuoni?
Hivi unamjuwa Kinana au unamsikia tu?
Namjua sana tu..si yule jangili wa meno ya tembo
Tunahitaji ulinzi wa Tembo wetu kwanza chadema baadaye;Yule ni jangili wa chadema. Mnamhaha, hivi sijui yuko mkoa gani anawamaliza.
akili za ki-uvccm na ki-bavicha ni majanga kwa taifa hili. period.wewe ndio janga kubwa kama vijana hawafanyi siasa wanasiasa unawapata wapi huna akili kabisa ondoka hapa hapa great thinkers hufai kuwa hapa nenda face book ndio saizi yako.