Nani aliyeiua CHADEMA chuoni UDSM?

Nani aliyeiua CHADEMA chuoni UDSM?

Chadema sio chuoni tuu,juzi nilikua mkoa wa singida kijiji cha Ititi,wazee waliokua chadema wanakwambia hawana time tena Na walaghai hawa
 
uchaguzi wa kumpata Rais wa serikali ya wanafunzi udsm- DARUSO unafanyika keshokutwa jumatatu huku upinzani wa mkali wa miaka ya nyuma baina ya vyama vya siasa ukionekana kufifia sana, itakumbukwa kuwa miaka ya nyuma umoja wa wanafunzi wa chadema- chaso walikuwa wakitoana jasho vilivyo na vijana wa uvccm kwenye nyakati kama hizi lakini tangu kutoweka kwa kizazi cha kina Silinde, Owawa, Nassari Na Makamanda Wengine Kwenye 2009/2010 Basi Uvccm Imeonekana Kutawala Kabisa Siasa Za Udsm,. mfano mzuri ni serikali inayomaliza muda wake chini ya rais Kisanko Na Baraza Lake lote la mawaziri. pia kwasasa wagombea wote watatu Wa Urais Gibson, Nickson Na Mboya ni makada wa chama cha mapinduzi.
tathmini iliyofanywa na uvccm inaonyesha kuwa makada wake pia wameshinda asilimia 85 ya nafasi za ubunge kwenye college zote 10 zinazounda udsm!!!
najiuliza sana ni nani aliyeiua CHADEMA hapa udsm? mahali ilipokuwa ikitamba kuwa inaungwa mkono na wasomi? chaso ipo kweli? Gs Wa bavicha Munishi Na Heche Mpo Kweli???

Wenzako wanauliza maswali sio majibu.
Aliyeuwa cdm ni chagadema hao wanafunzi kumbuka ni wasomi,na kila kitu kinachosemwa na viongozi wao wa kitaifa wanatafakari kwa mapana na marefu,wakishaona dalili za uongo,utapeli,wanachohubiri makada wao sicho wanachosimamia,wanapoona nafasi za uongozi kwa ngazi fulani zipo kwa ajili ya kanda gani za nchi.
Wanapoona viongozi hawawaambii wananchi juu ya sera za chama kuhusu mambo makuu ya nchi kama:
Sera za chama kuhusiana na jumuia ya Afrika Mashariki.
Sera za chama kuhusiana na kilimo,ni zipi.
Sera za chama kuhusiana na afya ni zipi
Sera zachama kuhusiana na madini na maliasili ya nchi ni zipi
Sera za chama kuhusiana na elimu ni zipi
Sera za chama kuhusiana na mambo ya nje ni zipi.
Sera za chama kuhusiana na madini ni zipi
Sera za chama kuhusiana na miondombinu ni zipi
Sera za chama kuhusiana na majeshi yetu kuwa walinzi wa amani kwa nchi mbalimbali ni zipi.
Sasa jumuia ya kisomi wanakwenda kwa hoja,wakiulizwa na wenzeo juu ya SERA ZA CHAMA WANAKOSA MAJIBU.
Badala yake, chama kinadandia hoja hafifu za matukio kuwa ndiyo SERA.
Kwa msingi huu wanachama wa jumuiaya chuo kikuu hujikuta wakiwa wapweke wasijue la kufanya ,hivyo kuamua kukaa kimya wakisubili next
move ya chama.
 
tatizo sio kufa tu kwa chadema udsm,wanafunnzi wengi hawaelewi umuhimu wa uongozi bora kwa ngazi ya chuo,hawaelewi nchi inakwenda vipi,mijadala ya katiba na mambo ya msingi inafanyika vijweni tu,ukumbi wa nkurumah umekuwa wa mikutano tu na si wanafunzi kukutana na kujadili mambo ya msingi,kazi ya wanafunzi imekua ni kujadii barclays premier league na kilimanjaro awards.mchango wa wasomi kwa nchi unazidi kupungua.
 
mkuu UDSM na matawi yake yote tatizo liko kwenye interview, yan ukijulikana una chembe chembe za chadema unapigwa chini hata kabla hujafika kwa wanachuo
 
Ni hivi, ukigundulika we ni Chadema ni ngumu kupitishwa na utawala kugombea pia ni rahisi kufukuzwa chuo kama kutatokea tatzo hata kama huhusiki. Ukiwa upinzani maisha yako ya kisiasa yatakua magum sana hapo Udsm.
 
tatizo sio kufa tu kwa chadema udsm,wanafunnzi wengi hawaelewi umuhimu wa uongozi bora kwa ngazi ya chuo,hawaelewi nchi inakwenda vipi,mijadala ya katiba na mambo ya msingi inafanyika vijweni tu,ukumbi wa nkurumah umekuwa wa mikutano tu na si wanafunzi kukutana na kujadili mambo ya msingi,kazi ya wanafunzi imekua ni kujadii barclays premier league na kilimanjaro awards.mchango wa wasomi kwa nchi unazidi kupungua.

Umenena kaka hao ndo wanafunzi wa udsm wa cku hizi hawaelewi kinachoendelea kwenye jamii na wala hawana mchango wowote wao ni club,pombe,madem na mpira tu. I have been there, i've seen it all.
 
Ni hivi, ukigundulika we ni Chadema ni ngumu kupitishwa na utawala kugombea pia ni rahisi kufukuzwa chuo kama kutatokea tatzo hata kama huhusiki. Ukiwa upinzani maisha yako ya kisiasa yatakua magum sana hapo Udsm.

ni kweli mkuu wanafunzi wote wanaoshabikia Chadema maisha yao magumu kurudishwa mwaka tena akina Maboko una fuatiliwa ndo mana watu hawataki kujihusisha na hayo mambo kisa cha kutimuliwa kuna kaka tunasoma karudishwa mwaka kisa mambo ya siasa
 
UDSM sasa imebaki jina tu waliopo ni vilaza watupu waliofeli wakanusuriwa na TCU. Sijisikii fahari kuwa nilisoma hapo miaka ya nyuma.
 
Tatizo ni hao watoto wa siku hizi,akili zimeishia kuwafatilia akina Wema Sepetu....Shetani ni Shetani tu....hata akufanyie jema lipi...CCM si wa kuwaunga mkono hata kama hakuna chama mbadala.....harakati za kusimamia haki za msingi zinapaswa kuwa pale pale hata nje ya siasa....Utulivu Udsm si dalili ya mambo kuwa shwari bali aina ya vijana wa siku hizi...
 
Kinana namjua kama JANGILI na NI MSOMALI hana kabial hapa Tanganyika
 
Acha kuongea kama mshabiki wa ngumi.....UDSM imekuwa chuo cha 4 Africa kwa kuongozwa na UVCCM? kwanini CCM wasiongoze kama viongozi wa chuo ni blue eye wa madikteta CCM? we unaona hata quality ya wanafunzi UD ni kama zamani?.....

Mkuu tatizo la bavicha punguani mpo wengi hata kufuatilia mambo ya msingi mnashindwa. Fuaatilia udahili wa udsm ndio urudi
 
Uvccm wamewahonga lazima kuwapoteza jinsi ulivyoandika japo huko sipajui nimeendana na uandishi wako.


Kama kila mtu huwa ni kuonga basi cdm hamna kitu opo siku hata ww utaongwa na kikubali
 
Mkuu tatizo la bavicha punguani mpo wengi hata kufuatilia mambo ya msingi mnashindwa. Fuaatilia udahili wa udsm ndio urudi

Njoo nikufundishe kitu we dada..... kama hujui mimi nimekulia UDSM academically.... nenda CONAS,CASS, COET na COED.... angalia walioingia na 3 sasa na miaka ya nyuma acha ushabiki we bint.... haya nenda kamchemshie mw..guru maji ya kuoga upate kula.... utakuwa mtumwa hadi siku ya mwisho... namuhurumia Mungu wako wa duniani
 
Tatizo chadema hawabishani tena kwa hoja za ukweli bali hoja za kufikirka.
Hivi inahitaji digirii kujua umuhimu wa Dr.Kitilya na Zito kwenye siasa za Vyuo?

Kwa kweli ngoma ikivuma sana hupasuka, chadema kwasasa wanatumia meno kufikiri badala ya kichwa, Kitila Mkumbo na Zitto Kabwe hawatasahaulika.
 
Back
Top Bottom