Nani alishagonga afande humu?

Hii inaitwa fantasy kama vile wapo wanaitamani kutembea na watawa, wanafunzi, wake za watu, wageni, n.k.
Ongezea parking girls, supermarket girls, bank tellers na wale agents wa marketing. Raha iko pale kwenye transformation from a strictly business encounter to a romantic one. Na kila moja ni unique, so you will always want to meet a new one!
 
Kuna Mmoja nilipiga nikamuacha visa vyake sasa....Siku moja akatoroka lindo akanojia na machine ananiambia kwa nini unaniacha???? Nakumiminia karanga sasa..Niliomba msamaha..Pona yangu ilikua ni kuhama mkoa..Naskia kuna jamaa Mkurya kamuoa na sasa wana Mtoto!!
!!!duh.
 
Wote mriochangia mada hii niwakute central kesho asubuhi mtoe maerezo mritoa wapi mamraka ya kuchezea crown za majeshi yetu.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom