Nani alimuua Samora Machel?

Mie naamini Makaburu ndiyo walimuua Samora.

Wakati ndugu zetu wa Msumbiji wakimkumbuka Mmoja wa viongozi mashuhuri Kamarade Samora Machel, baada ndege aliyopanda pamoja na abiria wengine 34 ilipotunguliwa katika milima ya jimbo la Mpumalanga kuelekea Msumbiji mwaka 1986, je ni nani alihusika na mauaji wa Mwana-Mapinduzi huyu toka jirani zetu hawa Wamakonde?
 
Udumu milele Mzee wetu Samora MACHEL. Ubalozi wa MSUMBIJI anzisheni hata amsha amsha ya kuwakumbuka wapigania uhuru wa huko kwenu ambao waliishi hapa nchini;
1. Samora MACHEL
2. EDUARDO MONDLANE
3. JOACHIM CHISSANO
4. FILIPPE NYUSI
Hivi kile chama cha TAMOFA bado kipo?
Na tuliwabeba haswa. ..MAULANA akumbuke sadaka zetu za nchi yetu. ..zaburi ya 20
 
Aisee mimi huwa napenda kununua vitabu vya kihistoria ili kujua siasa na mambo mbalimbali ya dunia yanavyokwenda; Kwa sasa nasoma hivi vinne hapa chini;
1. Why Africa is Poor and what Africans can do about it - Greg Mills
2. Regional Integration: East African Experience - Msuya Waldi Mangachi (kada)
3. Good Morning Mr. Mandela -
Zelda la Grange
4. Mossad - The Greatest Missions of Israel Secret Service : Michael Bar Zohar & Nissim Mishal.

Humo ndani napata maarifa na kuweza kung'amua mambo mbalimbali, kuliko kwenda kushangilia mpira wa ulaya kwenye Vibanda umiza.
 
Maafisa wa usalama wa enzi ya ubaguzi wa rangi wa huko Africa Kusini ndiyo walifanya hayo mauaji mwaka 1986.

Marehemu alikuwa mkosoaji mkubwa wa serikali ya ubaguzi wa rangi.

Bwana Machel aliyeuawa pamoja na abiria wengine 30.
Vipi kolimba ccm doooo.

swissme
 
Aisee mimi huwa napenda kununua vitabu vya kihistoria ili kujua siasa na mambo mbalimbali ya dunia yanavyokwenda; Kwa sasa nasoma hivi vinne hapa chini;
1. Why Africa is Poor and what Africans can do about it - Greg Mills
2. Regional Integration: East African Experience - Msuya Waldi Mangachi (kada)
3. Good Morning Mr. Mandela -
Zelda la Grange
4. Mossad - The Greatest Missions of Israel Secret Service : Michael Bar Zohar & Nissim Mishal.

Humo ndani napata maarifa na kuweza kung'amua mambo mbalimbali, kuliko kwenda kushangilia mpira wa ulaya kwenye Vibanda umiza.
Mpira n muhimu pia mkuu
 
Wanajua ukweli.

kama unakumbuka ya Sokoine aliuawa na baada ya kufa, sanamu zilisimikwa na kitabu cha Sokoine kueleza maisha yake kilivumbuliwa. same na Samora Macheli nae baada ya kuuwa sanamu yake ilisimikwa, na kitabu kuvumbuliwa but utata mkubwa umetanda mpaka leo ni nani waliusika na vifo vyao.

Kwa wale watu wa zamani or wafuatiliaji wa inshu hizi wanatambua kua mrithi wa Edward Mondulane hakua Samora Macheli bali alitakiawa awe Uria Simango ambaye alikua mmoja wa waanzilishi wa Frelimo. Uria Simango aliuawa pamoja na mwenzake Paul Gumane huko maeneo ya Nachingwea I think coz last time alionekana wakiwa kizimbani wamezungukwa na watu huku wakuu wa inshu Samora masheli na mwenzake Marcelino dos santos, marcelino dos santos kwenye kumbukumbu alikua akifundisha Chuo kikuu dar es salaam. samora alikua chaguo la nyerere na sio Uria simango nabaada ya hapo ndio Uria simango alikimbilia egypt , yeye na mwenziye walianzisha movement yao COREMO. walipodakwa ndio jamaa wakawaua.

Niweke mambo short tu.
Makaburu hawakua na inshu na Samora kipindi anukufa na walikua hawana sababu za kumuuua hasa ndio maana hata yeye alikua akiwa free kutumia airspace ya makaburu. According to Dr Salim Ahmed Salim, interview yake kuhusu mahusiano ya liberation movements na nnchi za scandnavia "anadai kua, wakati wakienda mkutanoni Botswana iliwalazimu luikweopa sana airspace ya makaburu kwa kuofia kutunguliwa....so why Samora masheli hakuogopa hilo?

simple ni kua, Samora muda ule alikua amesaini mkataba na Makaburu "nkomathi accord" moja ya makubaliano yalikua ni kuakikisha wapiganaji wote walioko mozambique wanaopinga makaburu kuondoka or kuendolewa kwa nguvu. Hii ilisababisha most of those walikua Tanzania toka south africa known as "umngwenya" kuamua kusettle kabisa Tanzania na kwakiasi kikubwa ilikua morale ya watu hasa wa south africa coz wote walirudi Tanzania inlcuding the now SA president Jacob Zuma. Mkataba ule ulikua na manufaa sana kwa makaburu na haukua na manufaa yeyote kwa nch na wapiganaji walionuia kuwatoa makaburu.

Hapa ndio Nyerere na wwenzake wa ANC na PAC walipanga kumtoa Samora Machel na walimtoa. Makaburu hawakua na sababu ya kumtoa Samora mtu aliesain mkataba mzuri kwa manufaa yao. ndio maana baada ya kuuawa Samora, Chisano ndio alichukua na si kwauchaguzi bali matakwa ya Nyerere na ndiio ilikua mwisho wa "nkomathi accord" wapiganaji wa ANC, PAC, Zimbabwe, Tanzania walirudi tena Mozambique na makaburu ikabidi nawao waandele inshu na Renamo.

So waweza ona kifo cha Samora kiliwaathiri sana Makaburu kwakua "nkomathi accord" ulikufa na Samora so wasinge muua bali Mchonga na wenzie ndio walikua MAPLANA wa Enzi hizo. RIP M J K Nyerere.
Umeamsha popo mkuu, subiri wanakuja.
Cc: faiza foxy
 
Vijana jueni historia ya bara lenu. Mpira wa ulaya hautakupeleka popote Kijana. ONa wazungu walivyo wajanja wamewateka na mpira (mnapoteza muda huko) sasa wamewaletea na betting na hela mnawapelekea.
 
Ingawa umenikuote vibaya na kwajina la mtu mwingine but nimekusoma.

All in all ni kua, wakati wa utawala wa Mwalimu mambo mengi yalikua ni kwa usiri mkubwa sana, kuliku na military coups kadhaa but nyingi ziliwekwa kwapani na pia kulikua na mapigano or mfarakano/kutoelewana kwa makundi ya wapiganaji wao kwa wao or ushindani kati ya ANC/PAC pia ZANU/ZAPU.

Ukumbuke tu, Nyerere as well as Ronald Regan were chanzo cha Chunya massacre, watu wengi hawajui hili, na mambo mengi sana nnchi hii imefanya huko nyuma sio watanzania tu but waafrica kwa ujumla.

Chunya massacre na kuhusika moja kwa moja kwa Nyerere na Ronald Regan.
Chunya, Mbeya once saved as the Military base of APLA " Azania People Liberation Army, it was as well known as Poqo, a military wing of PAC "Pan African Congress of Azania" a South African political party based in Tanzania. PAC was under the chairmanship of Robert Sobukwe before his arrest, the chairmanship of PAC was taken over by Potlako Lebalo na mkuu wake wa majeshi then was Tlempton Dandala, ambaye alitaka kumpindua back then but mapindizi hayo yalizimwa dar es salaam na usalama wa Taifa.

Baada ya muda, policy za PAC hazikua nzuri hii ilisababisha kukosa udhamini hivyo change ya leadership was lazima na Nyerere, the king-maker na mwenzie Ronald Regan walimtaka DAVID SIBEKO another South African intellect kuchukua mikoba ya Potlako Lebalo. they staged a coup wakati Lebalo akiwa Uingereza. Things went very wrong wakati the APLA commander Vusi Umuzi Make and his asst. Elias Ntoeledibe walipomwendea Sibeko Oysterbay, Dar es salaam, baada ya mabishano Sibeko alitwangwa risasi kadhaa akafa but PAC military wing iligawanyika into two teams, team Sibeko and Team Lebalo ndani ya Chunya mbeya na mapigani ya silaha za moto yalianza, watu zaidi ya 40+ walikufa but mpaka leo hakuna taarifa ya ukweli juu ya idadi kamili ya watu waliokufa. Ilibidi JTWZ liingilie kutuliza team zote na watu kibao walikufa, then waliwekwa kizuizini. Hili nalo wako kimya.

Nyerere, mzee wa venture. RIP!
Kitu ambacho sidhani kama ni kweli ni kumuhusisha Nyerere kwenye mambo ambayo yalikuwa yanaendelea ndani kwa ndani ya vyama vya ukombozi. Makaburu walikuwa n.a. uwezo mkubwa n.a. walipenyeza watu wao kuvuruga mambo. Ukweli hauwezi kufunikwa mablangeti..Nyerere alijitahidi sana kuona watu wote wa Africa wanakuwa huru
 
ANC na wengine walitimuliwa mapema tu mwanzoni mwa nkomathi accord, na pia hapa ndio kulikua na tishio kubwa ya makaburu kushambulia camp za ANC Mazimbu kwa ndege za kivita, it was then ndani ya Mazimbu walichimba maandaki makubwa. Nenda kaandalie, was there during my studies in Morogoro, at St Francis de sales.
Mtoto wa Fr. Augustine unatupiga sound. Francis De Sales iko Kihonda sio Mazimbu
 
Ila wazee wetu walikuwa wanachagua vitu/maua ya maana aisee. Sio sisi tuna mbwelambwela, sijui ndo pombe hizi tunazokunywa zinatutoa ufahamu?
 
Ingawa umenikuote vibaya na kwajina la mtu mwingine but nimekusoma.

All in all ni kua, wakati wa utawala wa Mwalimu mambo mengi yalikua ni kwa usiri mkubwa sana, kuliku na military coups kadhaa but nyingi ziliwekwa kwapani na pia kulikua na mapigano or mfarakano/kutoelewana kwa makundi ya wapiganaji wao kwa wao or ushindani kati ya ANC/PAC pia ZANU/ZAPU.

Ukumbuke tu, Nyerere as well as Ronald Regan were chanzo cha Chunya massacre, watu wengi hawajui hili, na mambo mengi sana nnchi hii imefanya huko nyuma sio watanzania tu but waafrica kwa ujumla.

Chunya massacre na kuhusika moja kwa moja kwa Nyerere na Ronald Regan.
Chunya, Mbeya once saved as the Military base of APLA " Azania People Liberation Army, it was as well known as Poqo, a military wing of PAC "Pan African Congress of Azania" a South African political party based in Tanzania. PAC was under the chairmanship of Robert Sobukwe before his arrest, the chairmanship of PAC was taken over by Potlako Lebalo na mkuu wake wa majeshi then was Tlempton Dandala, ambaye alitaka kumpindua back then but mapindizi hayo yalizimwa dar es salaam na usalama wa Taifa.

Baada ya muda, policy za PAC hazikua nzuri hii ilisababisha kukosa udhamini hivyo change ya leadership was lazima na Nyerere, the king-maker na mwenzie Ronald Regan walimtaka DAVID SIBEKO another South African intellect kuchukua mikoba ya Potlako Lebalo. they staged a coup wakati Lebalo akiwa Uingereza. Things went very wrong wakati the APLA commander Vusi Umuzi Make and his asst. Elias Ntoeledibe walipomwendea Sibeko Oysterbay, Dar es salaam, baada ya mabishano Sibeko alitwangwa risasi kadhaa akafa but PAC military wing iligawanyika into two teams, team Sibeko and Team Lebalo ndani ya Chunya mbeya na mapigani ya silaha za moto yalianza, watu zaidi ya 40+ walikufa but mpaka leo hakuna taarifa ya ukweli juu ya idadi kamili ya watu waliokufa. Ilibidi JTWZ liingilie kutuliza team zote na watu kibao walikufa, then waliwekwa kizuizini. Hili nalo wako kimya.

Nyerere, mzee wa venture. RIP!
Mkuu una history ambayo tunaweza kimbia nchi
 
Wanajua ukweli.

kama unakumbuka ya Sokoine aliuawa na baada ya kufa, sanamu zilisimikwa na kitabu cha Sokoine kueleza maisha yake kilivumbuliwa. same na Samora Macheli nae baada ya kuuwa sanamu yake ilisimikwa, na kitabu kuvumbuliwa but utata mkubwa umetanda mpaka leo ni nani waliusika na vifo vyao.

Kwa wale watu wa zamani or wafuatiliaji wa inshu hizi wanatambua kua mrithi wa Edward Mondulane hakua Samora Macheli bali alitakiawa awe Uria Simango ambaye alikua mmoja wa waanzilishi wa Frelimo. Uria Simango aliuawa pamoja na mwenzake Paul Gumane huko maeneo ya Nachingwea I think coz last time alionekana wakiwa kizimbani wamezungukwa na watu huku wakuu wa inshu Samora masheli na mwenzake Marcelino dos santos, marcelino dos santos kwenye kumbukumbu alikua akifundisha Chuo kikuu dar es salaam. samora alikua chaguo la nyerere na sio Uria simango nabaada ya hapo ndio Uria simango alikimbilia egypt , yeye na mwenziye walianzisha movement yao COREMO. walipodakwa ndio jamaa wakawaua.

Niweke mambo short tu.
Makaburu hawakua na inshu na Samora kipindi anukufa na walikua hawana sababu za kumuuua hasa ndio maana hata yeye alikua akiwa free kutumia airspace ya makaburu. According to Dr Salim Ahmed Salim, interview yake kuhusu mahusiano ya liberation movements na nnchi za scandnavia "anadai kua, wakati wakienda mkutanoni Botswana iliwalazimu luikweopa sana airspace ya makaburu kwa kuofia kutunguliwa....so why Samora masheli hakuogopa hilo?

simple ni kua, Samora muda ule alikua amesaini mkataba na Makaburu "nkomathi accord" moja ya makubaliano yalikua ni kuakikisha wapiganaji wote walioko mozambique wanaopinga makaburu kuondoka or kuendolewa kwa nguvu. Hii ilisababisha most of those walikua Tanzania toka south africa known as "umngwenya" kuamua kusettle kabisa Tanzania na kwakiasi kikubwa ilikua morale ya watu hasa wa south africa coz wote walirudi Tanzania inlcuding the now SA president Jacob Zuma. Mkataba ule ulikua na manufaa sana kwa makaburu na haukua na manufaa yeyote kwa nch na wapiganaji walionuia kuwatoa makaburu.

Hapa ndio Nyerere na wwenzake wa ANC na PAC walipanga kumtoa Samora Machel na walimtoa. Makaburu hawakua na sababu ya kumtoa Samora mtu aliesain mkataba mzuri kwa manufaa yao. ndio maana baada ya kuuawa Samora, Chisano ndio alichukua na si kwauchaguzi bali matakwa ya Nyerere na ndiio ilikua mwisho wa "nkomathi accord" wapiganaji wa ANC, PAC, Zimbabwe, Tanzania walirudi tena Mozambique na makaburu ikabidi nawao waandele inshu na Renamo.

So waweza ona kifo cha Samora kiliwaathiri sana Makaburu kwakua "nkomathi accord" ulikufa na Samora so wasinge muua bali Mchonga na wenzie ndio walikua MAPLANA wa Enzi hizo. RIP M J K Nyerere.
Kumbe kale kababu ketu kalikuwA hatarI sanA nA kalikuwA ni kagudi planna kwenye haya mambo.
 
Ingawa umenikuote vibaya na kwajina la mtu mwingine but nimekusoma.

All in all ni kua, wakati wa utawala wa Mwalimu mambo mengi yalikua ni kwa usiri mkubwa sana, kuliku na military coups kadhaa but nyingi ziliwekwa kwapani na pia kulikua na mapigano or mfarakano/kutoelewana kwa makundi ya wapiganaji wao kwa wao or ushindani kati ya ANC/PAC pia ZANU/ZAPU.

Ukumbuke tu, Nyerere as well as Ronald Regan were chanzo cha Chunya massacre, watu wengi hawajui hili, na mambo mengi sana nnchi hii imefanya huko nyuma sio watanzania tu but waafrica kwa ujumla.

Chunya massacre na kuhusika moja kwa moja kwa Nyerere na Ronald Regan.
Chunya, Mbeya once saved as the Military base of APLA " Azania People Liberation Army, it was as well known as Poqo, a military wing of PAC "Pan African Congress of Azania" a South African political party based in Tanzania. PAC was under the chairmanship of Robert Sobukwe before his arrest, the chairmanship of PAC was taken over by Potlako Lebalo na mkuu wake wa majeshi then was Tlempton Dandala, ambaye alitaka kumpindua back then but mapindizi hayo yalizimwa dar es salaam na usalama wa Taifa.

Baada ya muda, policy za PAC hazikua nzuri hii ilisababisha kukosa udhamini hivyo change ya leadership was lazima na Nyerere, the king-maker na mwenzie Ronald Regan walimtaka DAVID SIBEKO another South African intellect kuchukua mikoba ya Potlako Lebalo. they staged a coup wakati Lebalo akiwa Uingereza. Things went very wrong wakati the APLA commander Vusi Umuzi Make and his asst. Elias Ntoeledibe walipomwendea Sibeko Oysterbay, Dar es salaam, baada ya mabishano Sibeko alitwangwa risasi kadhaa akafa but PAC military wing iligawanyika into two teams, team Sibeko and Team Lebalo ndani ya Chunya mbeya na mapigani ya silaha za moto yalianza, watu zaidi ya 40+ walikufa but mpaka leo hakuna taarifa ya ukweli juu ya idadi kamili ya watu waliokufa. Ilibidi JTWZ liingilie kutuliza team zote na watu kibao walikufa, then waliwekwa kizuizini. Hili nalo wako kimya.

Nyerere, mzee wa venture. RIP!
Mkuu hizi habari nondo huwa mnazipataga wapi halafu inaonekana hii nchi ina story nyingi sana juu ya majirani zetu bt school hatufundishwi zaidi ya majimaji war.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom