Nani alimshtua Lowassa?

Nilipomwona Lowasa anaingia kwa mbwembwe uwanjani kama ana troti vile kupanda ngazi kuelekea jukwaa kuu ghafla akasimama nikakumbuka maneno ya Lizaboni kuwa alishindwa kupanda ngazi za Clouds FM.
 
Mara nyingi mtu hapendi kuzungumzia udhaifu wake.......
Na ndicho kinachotokea sasa hivi bungeni. Naibu Waziri wa elimu mama Anna K. Malechela alianza kutoa takwimu za ufaulu wa wanafunzi wa shule za kata kwa miaka mitatu na akataja division one hadi three, wabunge wa UKAWA wakaanza kushout amalizie na idadi ya waliopata division four na zero, lakini hakutaka kutaja!
 
Lowasa anajua kuwa alichemka alipoongea kule Dodoma. Anajua pia uwezo wa Sitta na Mwakyembe jukwaani na hasa juu ya kashfa hii ya richmond
Kulingana na shabiki wake anayekwenda kwa jina la Pasco, ni kuwa hakusema kwasababu ameweka akiba ya kujilinda iwapo hatapitishwa na na CCM kugombea urais. Kulingana na Pasco ni kuwa asipopitishwa basi ataweka kila kitu hadharani na atamtaja mhusika

Haya hapa maneno ya Pasco:
Kuhusu Richmond, Lowassa anautumia ule msemo wa "save the best for the last!", ukimya wake kuhusu zigo la Richmond ni la nani haswa ndio karata yake ya mwisho atakaitumia ama lazima CCM imteue yeye andelee kunyamaza, au CCM ikimkata ndipo ataitumia kama the final blow kwa kuwaeleza Watanzania mwenye Richmond ni nani, ataeleza pia ile tozo imeishalipwa na imelipwa na nani, atawaeleza Watanzania kuwa wote ndio tunaigharimia kupitia kuongezeka kwa bei ya Umeme, hivyo CCM ikimkata jina lake, kwake itakuwa ni kumwaga ugali, yeye atamwaga mboga

kwa sababu akiukosa urais 2015 ataishia kujifia kwa sonononeko la moyo, yaani ata suffer psychologigal depression itakayompeleka kaburini!, sasa kuliko kufa kibudu, ataamua kufa kishujaa na hata ikibidi ku zi disclose siri za Baraza la Mawaziri atasema na kujiondoa CCM kama Mrema tena anaweza kwenda extra mile kwa kuwaahidi Watanzania kuwa atataifisha zile nyumba zote za serikali na kuzirudisha serikalini, na kuwashitaki mafisadi wote wakiongozwa na fisadi mmiliki halisi wa Richmond!.
Link hii hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...i-ndani-ya-ccm-timu-lowassa-nambari-wani.html
 
Nafikiri kwa hili, CCM wamejifunza, walilea sana huu upuuzi sasa itawagharimu kwa maamuzi yeyote yale watakayoyaamua kuhusu Lowasa, wakimpitisha wanakazi ya kumsafisha na haitokua rahisi kuwashawishi wananchi kumkubali, wasipompitisha wanaogopa atachukua hatua gani na ikizingatiwa anawafuasi wengi kwemye chama.

Inabidi CCM wajitafakari na kuamua kufanya maamuzi yatakayopunguza madhara kwa chama.
 
Alipogusia kashfa ya Richmond huko Dodoma na kuahidi kuizungumzia zaidi tarehe 30/5/2015 huko Arusha,Lowassa alishaingia kwenye 'kumi na nane' za Dr. Harrison Mwakyembe, Samwel Sitta na waliokuwa wajumbe wa Kamati Teule ya Bunge. Kimsingi, hata Lucas Seleli angeibuka na kumwanika Lowassa. Lowassa angeumbuka mchana kweupe kwa kuwekwa hadharani hata yale yaliyofichwa Bungeni mwaka 2008.

Huko Arusha Lowassa hakuthubutu kuelezea kuhusu kashfa iliyomng'oa kwenye Uwaziri Mkuu ya Richmond kama alivyoahidi Dodoma. Nini kilimshtua? Nani alimshtua? Lowassa atambue kuwa anaishi kwenye nyumba ya vioo na hivyo asichokoze ugomvi wa mawe.

Jibu lake lipo kwenye post # 46
 
Tatizo la watanzania tunafanya mambo kwa hisia na mihemko.
Hakuna mahali ambapo Lowasa alisema kuwa atazungumzia ishu ya Richmond Arusha.
Richmond Lowasa alishaizungumzia mara nyingi tangu sikua ile alipojiuzulu.
Na aliizungumzia ndani ya kikao cha chama pale alipoona anakashfiwa na kina Nape na kundi lake kwa gharama za chama.
Lowasa tangu siku ile alipojiuzulu aliweka sawa na watanzania wote wasio na maslahi ya kisiasa na kimadaraka wakamuelewa kuwa alionewa na ndio maana watu wanamuunga mkono na makundi mbalimbali.

Alichosema Lowasa ni kuwa mambo mengine yanayohusu vipao mbele vyake asingependa kumaliza uhondo wa kuyazungumzia pale Dodoma badala yake atayazungumzia Arusha.
Sasa watu bado wanaendelea na hilo suala ili tu kuanzisha malumbano ya kimakundi badala ya mijadala ya kuondoa umaskini.
Hata ukiangalia kwa sasa watanzania hawazungumzii masuala ya kumtaja sijui Mwakyembe ,sijui Sita kama agenda wao wanataka waondokane na umaskini.
Umaskini umewatesa sana watu na wengi wanakoeshwa haki zao kwa sababu ya umaskini na kukosa elimu.
Sasa makundi mengine ya kisiasa yanashindwa kujipanga baala yake wanakuja na hadithi za nani ni hasimu wa nani!

Lowasa angekua ni fisadi na Mwakyembe na Samweli Sita wana vielelezo vyote vya kumtia hatiani wasingeendelea na hadithi za kusema kuwa ni fisadi tu huku wakimwomba mwenyezi Mungu ili Lowasa afe ,badala yake wangempeleka mahakamani ili ahukumiwe.

Ni mwanasheria gani asiyejua kuwa chombo cha kutoa hukumu ni mahakama. Iweje wao kama wanasheria na tena mawaziri waendelee kupita kuwema tutatoa vielelezo vyote.
Je,inakuaje wapenda haki wanaficha vielelezo vya wahalifu?
Je,kama ni kweli kama Mwakyembe na Sita watakuwa na vielelezo vya wizi unaofanywa na baadhi ya watumishi wa umma halafu wakaamua kuvificha kwa ajili ya kuvitumia kwa manuafaa yao ya kisiasa kwa nini tuendelee kuwaamini hawa watu wanafiki na wabinafsi?

Kuungwa mkono kwa namna yoyote sio jambo jepesi kama watu wanavyotuambia .
Miaka kumi Sita na Mwakyembe wanatumia gharama za serikali na nafasi za uwaziri kujisifia na kuona kila mtu hafai na wao ndio bora lakini bado imekuwa ni vigumu kuingia kwenye mchuano na Lowasa.Pamoja na kuwa Lowasa amewekwa benchi kwa miaka 8 huku kila njama zikitumika kumchafua na kumchonganisha na rais na chama chake lakini bado anaushawishi kwa watanzania kuliko hata hao mawaziri walioko madarakani huku wakishindwa kuwatumikia watanzania kwa vitendo.
 
Na CCM haiwezi kufanya ujinga wa kumpitisha mwizi.
Wote ni ukoo wa panya na watampitisha na kununua na kuiba kura (ketengenezea matokeo mezani) na kushinda uraisi kwa kishindo.

Kwe ubunge na udiwani ndipo ambapo sisiem wataumia vibaya!!!
 
Usijisikie vibaya mkuu the guy is a flop!
 
Liwalo na liwe fisadi haiingii ikulu, heri hata diwani wa kata ya segerea atuongoze kuliko wezi
 
kabla ya kukabidhiwa dola, ameanza kwa ahadi hewa, watu tumeacha kujenga taifa tusikie alichotuahidi yeye anaongea maneno ya ajabu ajabu akikolezea neno maamuzi magumu, jamaa wote kelele bila hata kujua kuwa hapo alipo ameshakimbia amuzi gumu alilowaahidi kuwaeleza.

hakuna kitu pale.
Watz ni wasahaulifu sana: Waliahidiwa kuelezwa mambo richmond hawakuelezwa na maisha yanaendelea. Yaani ni uzuzu full; na kama wote au walau 75% walikuwa ni wafuasi wa EL basi watz ni waDanganyi kweli kweli!
 
Lowasa atubu kwanza,ndiyo aendelee na safari yake ya kujipa matumaini ya kuingia ikulu.
 
Watz ni wasahaulifu sana: Waliahidiwa kuelezwa mambo richmond hawakuelezwa na maisha yanaendelea. Yaani ni uzuzu full; na kama wote au walau 75% walikuwa ni wafuasi wa EL basi watz ni waDanganyi kweli kweli!

mkuu mimi nimeshaamua kutodanganywa na hawa wanasiasa. nitafuatilia kila mtia nia hadi wapinzani na kusikiliza kila mgombea ili nitumie kura yangu kihalali, na hata kuwashwishi watu kihalali kumchagua.

Ila huyu EL amefeli hata kabla ya kutangaza nia.
 
100 digits.
Unamsafisha kwa bandiko lako refu au unatuimanisha kuwa yu anafaa sana?
 
AMEKUWA MWEPESI kwa fluid alotengeza mwenyewe, kaelea- kama angethubutu kugusia richmond (na asithubutu!) atapoteza nia anayotangaza, watu wanadata zote- Mwakiembe alificha mengi- anaokota watoto wa chuo' na kwenye CC hawapo! wakitaka kuigawa CCM wampitishe-
 
ndio mda aliona unafaa kusema ,kwan aliposema hahusiki si ulielewa alichosema! alikuwa wapi siyo jamb la msing, la maana ni yy kusema alichodhamiria ww uelewe, na uvhambuz wako uanzie hapo!

Jamaa katishia kuja*** wakati anaharisha
 
Back
Top Bottom