Nani alimshtua Lowassa?

..........anaumwa sasa!!!! atakagua gwaride kama ngazi tu anashindwa kupanda? wakati umemtupa mkono!!!!

Jambazi sugu na fisadi papa lowasa kamwe hawezi kuwa rais wa nchi. Inafaa ajitengenezee mazingira ya kuungana na rais ajaye ili aendelee kupiga diri
 
Hivi Nchemba Mwigulu amesemaje jana kule Dodoma?
Nasikia katema nyongo yote
Kamshambulia mkuu sana kwamba serikali ni hovyo sana, yeye akiingia huu ujinga ujinga wa watu kufanya kazi kwa mazoea ndo mwisho. Sijui jk anafanyaje kazi?
 
Mimi namshauri Lowasa na team yake wajiandae kisaikolojia, najua baadhi yenu mna magonjwa ya moyo. Big no ifanyeni sehemu yenu ili msipate shida.
 
Jambazi sugu na fisadi papa lowasa kamwe hawezi kuwa rais wa nchi. Inafaa ajitengenezee mazingira ya kuungana na rais ajaye ili aendelee kupiga diri

Nilisiakia akimongelea mgombea binafsi ndani ya ile beloved speech yake pale Arusha, Ikanitia shaka kuwa atagombea kama mgombea binafsi
 
Ni kweli tumefikia kushabikia rais anaeficha ukweli ili asiharibu masirahi yake? Kama EL anaujua ukweli wa Richmond na hakutaka kuuweka hadhari ili kumlinda JK..then why are we wasting our time discussing about EL.....? He is automatically not a person we are looking for....
 
Nilisiakia akimongelea mgombea binafsi ndani ya ile beloved speech yake pale Arusha, Ikanitia shaka kuwa atagombea kama mgombea binafsi

Hana hoja huyu jamaa....HAWEZI KUONGEA HAWEZI KUTENDA ila ni mtu mwenye jazba sana na ANA UJASIRI WA KIFISADI. Watz hawataki maamuzi magumu wanataka MAAMUZI SAHIHI
 
Petro mselewa acha uzushi. Mwakyembe Sitta wala Seleli hawakuwa na ushahidi wa kumtia hatiani Lowassa na ndio maana Mwakyembe alizungumza bungeni kuwa Lowassa hakuhusika na richmond bali amewajibika kisiasa.
Lowassa hakuongelea Richmond uwanjani kwa kuwa tunaamini kuwa utafanyika mdahalo wa watia nia wote na hapo ndipo utakapopata uhondo nawe na akina mwakyembe wako mje na ushahidi wenye mashiko
Alipogusia kashfa ya Richmond huko Dodoma na kuahidi kuizungumzia zaidi tarehe 30/5/2015 huko Arusha,Lowassa alishaingia kwenye 'kumi na nane' za Dr. Harrison Mwakyembe, Samwel Sitta na waliokuwa wajumbe wa Kamati Teule ya Bunge. Kimsingi, hata Lucas Seleli angeibuka na kumwanika Lowassa. Lowassa angeumbuka mchana kweupe kwa kuwekwa hadharani hata yale yaliyofichwa Bungeni mwaka 2008.

Huko Arusha Lowassa hakuthubutu kuelezea kuhusu kashfa iliyomng'oa kwenye Uwaziri Mkuu ya Richmond kama alivyoahidi Dodoma. Nini kilimshtua? Nani alimshtua? Lowassa atambue kuwa anaishi kwenye nyumba ya vioo na hivyo asichokoze ugomvi wa mawe.
 
Nionavyo mimi

Lowasa alijua akisema basi mkuu atakuwa anahusika hivyo kusababisha yeye Lowasa kutopita huko CC.
Ameamua kaa kimya ili akipitishwa aseme au akiwa Raisi aseme kilichotokea na kwanini alikuwa kimya

Hatudanganyiki
 
kuichagua SISIEM ni sawa na kujitegeshea bomu.....

Kuipigia kura ccm ni sawa na kura iliyoharibika, HAKUNA MATUMAINI MAPYA YA KIMAPINDUZI NA KIMAENDELEO KIUCHUMI WA TAIFA NA MTU MMOJA MMOJA....
Wamechoka kufikiri
 
Kuipigia kura ccm ni sawa na kura iliyoharibika, HAKUNA MATUMAINI MAPYA YA KIMAPINDUZI NA KIMAENDELEO KIUCHUMI WA TAIFA NA MTU MMOJA MMOJA....
Wamechoka kufikiri

hakuna matumaini ni MATAMANIO
 
Mimi Bwana naamini Apson yuko kazini, muda ya mrefu Lowasa atavuna mabua
......jamaa (Lowassa) kwa hilo amebugi sana, lakini heko kwa mfumo kwa sababu umejipanga vizuri kutorudia yale ya 2005, ulipochezeshwa ngoma na wanamtandao, Lowassa hawezi kufunga bao kwa mkono kama swaiba wake alivyofanya!!!! amemalizwa kirahisi sana na mfumo japo najua ni kwa gharama kubwa pia
 
ukweli alishutuka maana watu wasajipanga kumjibu ktk hilo wengine wana phcd za ujerumani ambazo ukiaribu wanaifuta nani anataka kuaribikiwa.
 
Back
Top Bottom