JackisonDubai
JF-Expert Member
- Mar 27, 2023
- 537
- 1,285
sio kweliWakazi wa Misri wa wakati huo ndio walijenga
Tupe wewe ukwelisio kweli
Wasituchoshe sie [emoji23][emoji23]Walijenga wa kazi wa eneo hilo wa wakati huo.
annunaki na sumarinsTupe wewe ukweli
[emoji23][emoji23][emoji23] weweHahahaa CCM hao!
inaonekana anawajua wajenziTupe wewe ukweli
Nilijua tu.... sisiemu lazima wanahusikaHahahaa CCM hao!
Hii inaitwa "Fanya kazi kwa bidii mpaka vizazi vijavyo viamini kuwa aliens ndio waliofanya hio kazi" ๐MAAJABU YA PYRAMIDS ZA MISRI
Mojawapo ya pyramid refu zaidi huko Nchini Misri (Egypt) lina urefu wa futi 481 sawa na jengo lenye ghorofa 48.Lina uzito wa tani million 14.5,limechukua eneo la mraba hekari 13 sawa na viwanja kumi vya mpira wa miguu.Inaaminika kua lilianza kujengwa mnamo 2540BC na kumalizika miaka 23 baadae.
PYRAMID kubwa zaidi MISRI (Egypt) lilitumia matofali (majabali,) 2,300,0000 (million mbili na laki tatu) na inakadiriwa kua kila tofali/jabali/jiwe lilikua na uzito wa tani 7, kwenye kilele cha pyramid hilo jiwe lililotumika kufunika juu kabisa lina uzito wa tani 50 mpaka leo wazungu wanajiuliza ni kina nani walilipandisha jiwe hilo na ilifanyika vipi jiwe la namna hiyo kupandishwa juu urefu wa futi zaidi ya 400 na binadamu jambo ambalo ni gumu kulielewa
Pande zote tatu za PYRAMID zipo sawa na unaambiwa huwezi kuona kimvuli cha pyramidi hata ukae upande gani hii inamaana kuwa hata jua likae upande gani huwezi kuona kimvuli cha pyramid , Hesabu zilizotumika kujenga pyramid hilo ni pasua kichwa Hadi Sasa.
MashaaAllahุฃูููู ู ุชูุฑู ูููููู ููุนููู ุฑูุจูููู ุจูุนูุงุฏู
(AL - FAJR - 6)
Kwani hukuona jinsi Mola wako Mlezi alivyo wafanya kina A'di?
ุฅูุฑูู ู ุฐูุงุชู ุงููุนูู ูุงุฏู
(AL - FAJR - 7)
Wa Iram, wenye majumba marefu?
ุงูููุชูู ููู ู ููุฎููููู ู ูุซูููููุง ููู ุงููุจูููุงุฏู
(AL - FAJR - 8)
Ambao haukuumbwa mfano wake katika nchi?
ููุซูู ููุฏู ุงูููุฐูููู ุฌูุงุจููุง ุงูุตููุฎูุฑู ุจูุงููููุงุฏู
(AL - FAJR - 9)
Na Thamudi walio chonga majabali huko bondeni?
ููููุฑูุนููููู ุฐูู ุงููุฃูููุชูุงุฏู
(AL - FAJR - 10)
Na Firauni mwenye vigingi?
Hayo unayoshangaa jua walijenga watu wa huko.
Ushahidi?annunaki na sumarins