leonaldo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 2,583
- 3,181
Wazee wa Rumumba waliwateu hawa jamaa wawe wawakilishi wa wananchi baada ya kuona hakuna wanachama mbadala wa kukiwakilisha chama katika maeneo yao na kuwa wakikosekana bungeni, BUNGE litakosa msisimko!!!!
Wazee wa Ufipa nao wakasema bora tumchague huyu, tuwag'oe rumumba pale magogoni, mambo mengine tutajuana mbele kwa mbele!!!.
Wazee gani walifanya maamuzi ya busara kwa manufaa ya nchi,na ni nani alie na haki ya kumsonta kidole mwenzie?