Nani ale chakula meza moja na housegirl!

Nani ale chakula meza moja na housegirl!

ila hao ndo wanaangalia nyumba wanapokuwa makazini usafi, kufua, kupika na hata kuwapeleka watoto wao shule. jana ni jumapili hivyo alikuwa home, watu wenye roho hizi wanafanana na T-bag. hii ni roho mbaya sana

T- Bag wa prison break?
 
Huyo mama Muhaya!maana hata ukimpangisha nyumba yako au awe jirani yako ni tabu tupu
 
wanawake tumechafuka jaman na hadi tuje tujisafishe cjui lin tutakuwa tumechelewa ktk hl ile kaul kuwa mwanamke ana huruma iko kando kwa muda inategemea na topic imekujaje
 
Huyo mama atakuwa ni Mhaya tu, Wahaya ndio wanaongoza kwa uchoyo wa chakula (ni culture yao) na dharau, mtoa maada anaweza kuthibitisha.

Ni kama umeniwahi vile!
Hawa viumbe ndivyo walivyo haswaa. Ningekuwa mimi ndo mgeni ningewachana pale pale no kukopesha! Any civilized family wont dare to isolate her, ipo siku akiwachoka atawaua family nzima.
 
Passion Lady, umetaja kitu cha ukweli kabisa. Housegirl mmoja katika kulipiza manyanyaso na mateso ya waajiri wake alimweka mtoto kwenye OVEN na kuwasha socket! Kisha akaenda zake kusikojulikana!

kiukweli mwanamke unapoishi na
mtt wa mwenzio mjali na kumthamini
ukimfanyia ubaya anaweza kuwawekea sumu
hata kwny chakula tusijisahau kua hg ni sehemu
ya maisha yetu,akiamua kuteketeza anaweza
mi binafsi nawaheshimu sana!!
 
Watu wanashindwa kuelewa hawa mahousegirl kwamba huu ni mgawanyo wa majukumu tu, imagine mnaenda kazini mnamwacha home na watoto wenu na anawaangalia vyema mpaka mnarudi still unamtenga kama mnyama, me nina house girl tunaishi kama ndugu na ukifika kwangu huwezijua kama ni mfanyakazi na kutokana na utendaji wake bora tumemwachia frizer moja anatumia kutengenezea icecream ili kujiongezea kipato na anatuheshimu kweli, jamani hawa ni watu kama sisi tuwape khaki stahili.
 
Nilihuzunika sana mama mwenye nyumba alipotamka maneno haya.

Hii imenitokea nilipoenda kwa rafiki yangu niliyesoma naye O level miaka ya 90. Nilishangaa kuona ingawa yeye ndiye aliyeandaa chakula, kilipofika mezani yeye alikuwa ameketi kwa mbali anangojea tumalize kula ili naye aje kusaza mabaki.

Nilishindwa kuvumilia baadae nikauliza-wakati tunaendelea kula - iwaje msichana wa kazi hajajumuika nasi mezani.

Shemeji aliibuka na kujibu, nanukuu 'nani ale chakula meza moja na housegirl? Niliposikia maneno hayo nilikaa kimya, maana shemeji alionekana wazi hapendi kula chakula pamoja na housegirl.

Chondechonde mnaoishi na hawa mugro, jamani tuwachukulie mamugro aka beki tatu kama binadamu, kama anakupikia mlo, anakulelea wanao, na mambo mengine mengi, inakuwaje unamchukulia kama mbwa au paka anayengojea bosi ale halafu yeye atupiwe mifupa au makombo! Tubadilike jamani hasa nyie kina mama wenye nyumba, mweeeeee!

Hujakuwa bado, jipe muda
Hutauliza swali kama hili ..!!!!

Hawa watu ni bahati tu
MUNGU akumpe msaidizi mzuri tu angalau kwa muda
Lakini...... acha tu.

Kijana utakuwa tu.
 
Msaidizi wa nyumbani/msichana wa kazi nae ni binadamu kama wengine. Kwani ukila nae meza moja tatizo liko wapi?
Kama Yesu na Muhammad SAW waliwez kula meza moja na wenye ukoma na maskini wewe unashindwa nini?
 
Hawajui kua hg anaweza kukuwekea sumu kwenye chakula au ukakuta kaua watoto halaf kasepa hii tabia hasa kina mama tunaongozaa
 
Mmmh hii haijakaa vizuri

Hakika kuna watu na viatu. Tukifanikwa kidogo huwa tunajisahau sana, Mungu ni Mmoja, mafanikio yetu hayatokani na ujanja wetu bali ni kudra za Allah. Pia tunajisahau kuwa hawa tunaowadharau hawakuomba wala kutaka wawe hivyo, na kibaya zaidi hatuna guarantee ya wazawa au ndugu zetu kuwa tofauti na hawa tunao wadharau!
 
Back
Top Bottom