PostGE2025 Nani adai ownership ya Ripoti Batili?

PostGE2025 Nani adai ownership ya Ripoti Batili?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwanza, hakuna aliye na akili timamu atayedai ownership ya ripoti ya tume batili iliyoundwa na Rais haramu?

Pili, huyo Samia kathibitisha lile jambo ambalo tulilipigia makelele, kwamba, hiyo tume si huru wala halali. Mgongano wa kimaslahi ulikuwa wazi kabisa.
Mtu isipomfaa akili yake, utamdhuru Ujinga wake.

Muda utasema.
 
Hapa hata akipaisha referee anasema mpira uliingia nyavuni.
😁😁😁
Screenshot_20260424-122929~2.png
 
Back
Top Bottom