Nandy tangu aolewe sijawahi sikia skendo

Nandy tangu aolewe sijawahi sikia skendo

Kuna mengine tuwaachie jinsia nyingine... Sisi tukiyapa airtime tutafikiriwa vinginevyo
Kaka jamii ili itengemae usiogope kumuita mtoto wako wa kike na kumfunza kumpa red flags za jamii ilivo, eti kisa atakuona tofauti si kweli jamii inahitaji, kupewa elimu, elimu inge tolewa Kwa wakati na Kwa uwazi Leo tusinge Lia na mimba za utotoni, lakini mentality ya hayatuhusi hayo ni ya kina Fulani ndo chanzo hata nchi yetu kito piga HATUa tuna amini wakuongea ni lisu na heche basii, wengine utasikia katusemee
 
Nandy ndie aliyependa zaidi kuliko kupendwa zaidi. Hadi kuolewa kajishusha,kalia sana kaomba misamaha mingi,ahadi kede kede.

Kumbuka alimuacha mwenyewe msela kisa ruge na vitisho kibao
Sizani hauko sahihi nandy kajishusha Kwa billnas? si kweli, unakumbuka tukio la nandy kuvishwa Pete jukwani, billnas alimpigia magoti nandy akubali, kuvaa Pete, watu wanatoka mbali, siku mbele, nandy akadai Pete imeibiwa, mi naona billnas ndio kapambania ndoa, mana kipindi hicho hakua na maisha.
 
Back
Top Bottom