Nandy tangu aolewe sijawahi sikia skendo

Nandy tangu aolewe sijawahi sikia skendo

Nilimsikiliza mama yake nandy kipindi anahojiwa, Kuna kauli alisema, " sisi ni wazazi hatuna uwezo wa kum chagulia mume, hata tkiletewa kichaa poa tu" nikajua wazazi hawamuelewi nenga kisa ile inshu ya kuvujisha picha za nandy na ule mchupi, walifeli kitu kimoja walichelew demu alikua Kesha data kwishaaaa, demu akipenda tu umemaliza
Ogopa sana demu akidata, yule nandy ndio anampenda zaidi nenga
 
Back
Top Bottom