Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,547
- 18,265
Skendo za nini wakati ni x wa jasiri shujaa marehemu.
Wewe mgeni hapa mjiniSizani hauko sahihi nandy kajishusha Kwa billnas? si kweli, unakumbuka tukio la nandy kuvishwa Pete jukwani, billnas alimpigia magoti nandy akubali, kuvaa Pete, watu wanatoka mbali, siku mbele, nandy akadai Pete imeibiwa, mi naona billnas ndio kapambania ndoa, mana kipindi hicho hakuna na maisha.
Unataka kusema nawe unaishi states, 🇺🇲, hahahahaa🤣Wewe jamaa ni mshamba kweli,hivi unafikiri JF members wote wanaishi kwenye nchi moja tu?
We jamaa 🤣Nandy anampenda bill nas na bill sio malaya by nature ye ni mpiga nyeti typical
Hahaahaaa kweli bhana, watu walihofia usalama wao, ndo mana demu hakua na skendo, kumbe watu waliogopa kupotezwa kwenye gameSkendo za nini wakati ni x wa jasiri shujaa marehemu.
Niambie mwenyeji, mwanaume wa dar originalWewe mgeni hapa mjini
Huyu dada namfahamu sana amewahi kuishi mwanza akisoma greenview,miaka hiyo.Basi nilimpenda na kuna siku nilimualika mahali fulani akaja,nikatupa nyavu,akaniambia ana mtu wake na akanitajia huyo mtu wake ambae mimi nilikuwa nampa kazi fulani,basi nikaachia hapo akawa akiniita baba hadi leo.Ni mwanamke wa hadhi na msimamo na wala hana makuuUkiacha skendo ya marehemu mutahaba, sijawahi sikia skendo nyingine, alipo olewa nilijua ndoa haikatiz mwaka Mmoja Chali, lakini wapiiii, ndo kwanza ananenepa dada wa watu.
Nadhani wachawi wako bize kugombanisha ili waachane na wabaki single kama wao, aseee sister nandy na zawadi Yako pliz, napenda kuona dada zangu mkitulia kwenye ndoa zenu nafurahi sana, MUNGU akutangulie dada angu, INSHAALLAH.
Mkuu green view ya wapi mana NAMI nimesoma hapo sijawahi sikia, hii stori, unasema green ya kiseke, au, nimesoma hapo sijawahi sikia nandy, kasomea greenHuyu dada namfahamu sana amewahi kuishi mwanza akisoma greenview,miaka hiyo.Basi nilimpenda na kuna siku nilimualika mahali fulani akaja,nikatupa nyavu,akaniambia ana mtu wake na akanitajia huyo mtu wake ambae mimi nilikuwa nampa kazi fulani,basi nikaachia hapo akawa akiniita baba hadi leo.Ni mwanamke wa hadhi na msimamo na wala hana makuu
Kila siku nasema, siku hizi kuolewa au kuoa kuna umri wake ambapo unakuwa umeishafanya uhuni wako wote na sasa unakuwa unahitaji kupumzika. Kwa mwanaume kama bado ukiona tako, dushe linasimama au sura nzuri unajikuta ccm juu; elewa wakati wako wa kuoa bado.Ukiacha skendo ya marehemu mutahaba, sijawahi sikia skendo nyingine, alipo olewa nilijua ndoa haikatiz mwaka Mmoja Chali, lakini wapiiii, ndo kwanza ananenepa dada wa watu.
Nadhani wachawi wako bize kugombanisha ili waachane na wabaki single kama wao, aseee sister nandy na zawadi Yako pliz, napenda kuona dada zangu mkitulia kwenye ndoa zenu nafurahi sana, MUNGU akutangulie dada angu, INSHAALLAH.
Hamna malezi tu, kipindi nandy anaolewa alikua mdogo sana ha ta billnas hakua amekua kiakili, billnas ni mdogo Kwa mondi, hivo kusema Kesha maliza ujana si kweli nikujitambua tu, mkuu ukitaka kuoa oa mnae endana, ndo mana unashauriwa owa rafiki Yako mshikaji wako, ukikosea anakuchana, mnayamaliza.Kil
Kila siku nasema, siku hizi kuolewa au kuoa kuna umri wake ambapo unakuwa umeishafanya uhuni wako wote na sasa unakuwa unahitaji kupumzika. Kwa mwanaume kama bado ukiona tako, dushe linasimama au sura nzuri unajikuta ccm juu; elewa wakati wako wa kuoa bado.
Ukiona mwanamke akikasirika anadai muachane, jua aliolewa kabla ya wakati wake.
Umesahau hata ule mchupi wake ?Ukiacha skendo ya marehemu mutahaba, sijawahi sikia skendo nyingine, alipo olewa nilijua ndoa haikatiz mwaka Mmoja Chali, lakini wapiiii, ndo kwanza ananenepa dada wa watu.
Nadhani wachawi wako bize kugombanisha ili waachane na wabaki single kama wao, aseee sister nandy na zawadi Yako pliz, napenda kuona dada zangu mkitulia kwenye ndoa zenu nafurahi sana, MUNGU akutangulie dada angu, INSHAALLAH.
Ukiacha skendo ya marehemu mutahaba, sijawahi sikia skendo nyingine, alipo olewa nilijua ndoa haikatiz mwaka Mmoja Chali, lakini wapiiii, ndo kwanza ananenepa dada wa watu.
Nadhani wachawi wako bize kugombanisha ili waachane na wabaki single kama wao, aseee sister nandy na zawadi Yako pliz, napenda kuona dada zangu mkitulia kwenye ndoa zenu nafurahi sana, MUNGU akutangulie dada angu, INSHAALLAH.
Kwa hiyo kumjua huyo mtu wewe ni mjanja sana?Dah humjui nandy? We ni mzigo nchini
Hujanielewa, niliongea kimafumbo! Nasema kwa sasa inatakiwa mwanamke kwanza akazwe na madushe ya kila aina, mitindo yote, akishiba ndipo aolewe. Umesahau Skendo ya Chuli ya Nandy? Umesahau alikuwa anatembea na Marehemu Ruge na Ukimwi wake, hadi kusema walikuwa waoane? Alizishiba akawa tayari kwa ndoaHamna malezi tu, kipindi nandy anaolewa alikua mdogo sana ha ta billnas hakua amekua kiakili, billnas ni mdogo Kwa mondi, hivo kusema Kesha maliza ujana si kweli nikujitambua tu, mkuu ukitaka kuoa oa mnae endana, ndo mana unashauriwa owa rafiki Yako mshikaji wako, ukikosea anakuchana, mnayamaliza.
Nandy na billnas wamefahamiana zamani, wamependana tu, huyu billnas kasemwa vibaya sana kipindi anajitafuta hakua na hela wasanii wenzake walidai alikua anawapiga sana mizinga, ni ngumu nandy kumkubali, ukiona hivo basi jua wamependana hawa vijana, Leo mshikaji kawazidi wasanii wengi pesa, sababu ya mke alie nae, angekua keshakimbiwa zamani.
Wazo la kijinga sana mkuu. Kwamba mwanamke akishamaliza umalaya ndo anafaa kuwa mke? Hapana.Hujanielewa, niliongea kimafumbo! Nasema kwa sasa inatakiwa mwanamke kwanza akazwe na madushe ya kila aina, mitindo yote, akishiba ndipo aolewe.
Umri wako pamoja na kunitukana!Wazo la kijinga sana mkuu. Kwamba mwanamke akishamaliza umalaya ndo anafaa kuwa mke? Hapana.
Hakuna chai ngumu mbele ya mkatemgumu mbele ya chai