Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,065
- 9,034
- Thread starter
- #81
Wewe unadhani nandy ange taka boss kubwa hapa mjini ange kosa? Wakina Fulani wamechoka lakini hawakosi washamba wa mikoani seuze nandy?Hakuna chai ngumu mbele ya mkate