Nanasi Lililoozea Ndani...

Mbe" Mentor mananasi mengi mjini hapa yameoza kwa ndani ile nje mambo safi
Mbe" Hapana pima umbali kwa macho,
Ila mwambie Nicas anaweza kulala na bundi akaamka mwenye bahati..

Daaaah! Story inasikitisha hii,ila inafundisha wanaume muache kupapatikia hiyo mambo kiholela. Mtakufa siku si zenu
 
Mentor somo zuri tunapaswa kujifunza unapokataliwa unaepuka mengi lakini wengine ndio wanakuwa king'ang'anizi wakijua mambo yatakuwa mazuri kumbe ndio hivyo.........inawezekana Nicas hajaambukizwa mshauri apime afya kama atakuwa ameathirika aikubali hali japokuwa ngumu anaweza kuishi muda mrefu usiache kumjulia hali ni mojawapo ya faraja "kitumbua kimeingia mchanga" raisi wa awamu ya pili
 
Last edited by a moderator:

Hahaha Muhusika mkuu nipo hapa. Tuandae hii makitu aisee
 
Last edited by a moderator:
Mpwa wangu Mentor Mzee wa Verossa safi sana kitu imekwenda shule hii aisee ila kama kawaida Mpwao haachi uchokzi, eti ni kwanini Hawa Watani zangu Wachaga hawana sauti "th" bADALA yake wana "dh" mfano athirika wanasema adhirika!!!! Swali la mwisho la kiuchokozi, kwanini wachaga hawana majina ya Kieneyeji? Ni ya kikristo tu tena cha kujitungia? nicas, alfred, BRENDA Goliver, Godlisten......

hahahaahaaa just kidding Mpwa to be honest story imekwenda shule na umeileta muda muafaka maana umeshavuruga appointment nyingi sana za watu, haya nyie mliokuwa kamfanye ngono kesho Jumamosi, jifikirieni mara mbili mbili
 
Last edited by a moderator:
Mbe.... Mie nitakusindikiza hadi kishimundu


 
Last edited by a moderator:
Mbe ajali kazini mbe....leo nanasi linaweza kuwa safi kesho likaoza ndani kwa ndani
mwekundu mdogo wangu wacha ubishi meku! Heri liharibike ukiwa ushalinunua ambapo possibility yake ni ndogo.


Shikamoo Mtambuzi.

Umesharudi kutoka milimani? Basi nitakuja kesho...

Mentor asante sana kwa kisa hiki ambacho kina ukweli na uhalisia ndani mwake. Hili ni janga na ni wachache wanachukua tahadhari ila kwa kweli hali ni mbaya sana
Mpigie Nicas aise ujue hata hali yake na status yake bana

Nicas anaendelea vizuri ila kaniambia nikuonye.

Kwani Vin Diesel hujui kundi lako aise
Hebu mwambie Mentor akuambie mata ya pili

Hahaha Mr Rocky = Vin Diesel = kundi moja = silent killers!

Wanaume wengi wakishajua msichana ni bikra swala la kupima kabla ya tendo linakuwa halipo....mana anamwamini msichana moja kwa moja sababu ya bikra yake...

Spot on sister! Hata mimi ningekuwa culprit hapo...
 
Last edited by a moderator:

Mbe.....
 
Last edited by a moderator:
Mbe...kuna wanaume hawataki kushindwa....ndo wajifunze ukiona unakataliwa kila kukicha ujue unaepushwa na janga...mbe

Contrary to general belief: Jambo zuri lazima likutoe jasho mbe!

Daaaah! Story inasikitisha hii,ila inafundisha wanaume muache kupapatikia hiyo mambo kiholela. Mtakufa siku si zenu

Kufa kupo 'Valentina' Hata sijui kama ningeepuka hiloif I was in Nicas' shoes!!!

Kaka hua napenda sana story zako..hiv n hadith au true story

Hii ni hadithi ya kweli/true story!


Adha = adhirika
athari = athirika


Majina ya kienyeji tunayo mengi sana sema kwa ajili yenu vyasaka hatuyatumii.

Mfano mimi ninaitwa: Shirumisha Mndumii amennengia Petiel.


Asee huyu Arushaone ndo kiboko....Utadhani anawahi deadline

Endeleeni kutajana. Halafu mentor wenu alikuwa babu: Dark City
 
Last edited by a moderator:
Mbe.... Mie nitakusindikiza hadi kishimundu

Na mimi ntakuwa muanzisha nyimbo:

"Parapanda italia parapanda..."

"Wuyana wo wukiwa...wyana wo wukiwa..."

"Kamanda...yeyoo, siku mapigo yangu ya moyo mwisho yatapogota.."

"Si mbali, karibu! Tutaimba na sisi huko"

#cd-changer atapiga Mbu.

Story nzuri na inafundisha.

Umejifunza nini mtoto mzuri!?? (i hope ni usiwe mgumu kutoa..)


Na wewe umo kundi la wagumu tukuibukie?
 
Last edited by a moderator:

Kiukweli hapo kuchomoka inakuwa ngumu...mbe tujifunze kwa wenzetu tu...
 
Last edited by a moderator:

Ah na usister wangu huu unataka kuniibukia nin...? Endelea nao tu haohao...
 
Last edited by a moderator:

mkuu Mentor , dah
mwalu is he ( dume la mbegu) and not she! sahihisha tafadhali
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…