Namzimikia Lizzy wa JF!

Hahahaha. . .
Kweli kabisa Cheusie. . . sio wanatumia tu majina yetu kujifaidisha , tena bila hata ruhusa.

nakwambia huyu bado underground siku akiwa celeb kwan hata like yake utaiona,atakua keshasahau kuwa jina lako ndo limempandisha,hlafu nahisi huyu ni mtu wa marketing mana kaona vuguvugu linaloendea hapa chit chat akaona huu ndo wkt mzuri kujipa promo.
 
Naona mwaka huu members wameamua kufunguka
 
Ahaaa!! wawawawa cheusimangala!! Siyo najipandisha, wewe si unajua ninaking'amuzi cha kukutambua wewe ni nani?
 

Hahaha. . . mjanja kweli.
Ila nikimpa umaarufu lazima ataulipia tu. . . .we ngoja.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…