Namzimikia Charminglady jamani nifanyeje?

Namzimikia Charminglady jamani nifanyeje?

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2011
Posts
3,402
Reaction score
927
Ningekuwa nauwezo ningekunywa hata pombe ya banana nipunguze mawazo.maana usiku silali mchana hapatoshi kwa jinsi ninavyomzimikia mlimbwende huyu.nimetongoza weeee lakn ndo kwanza anazidi kutia pamba maskion.nimejaribu ni msahau imeshindikana,yaani mpaka napata wazimu.hiv hapa nina zawadi zake kibao natafuta mwanachit chat mmama wa makam ampeleke na ujumbe wa kutoka kinywa changu labda anaweza nipokea moyoni mwake.ikishindikana bas najipeleka mabwepande nikaji tiss mwenyewe
 
Mweleze ukweli utazidi kuchanganyikiwa mwisho wake utakuwa kichaa !
 
Tasavali nigee mie hidho dhawadi nimpelekee, ujumbe mpe Mamndenyi atafikisha!!
 
Tasavali nigee mie hidho dhawadi nimpelekee, ujumbe mpe Mamndenyi atafikisha!!

wewe umeongea la maana!kwa umri wa Mamndenyi anaweza kusikilizwa maana miaka 72 si haba
 
Tuulize sisi chamoto tulichokiona.................Laki si pesa milioni matumizi
 
Tuulize sisi chamoto tulichokiona.................Laki si pesa milioni matumizi

platozoom acha bwana kunibrekisha moyo wangu jaman!...roho yangu imemdondokea huyu dada we acha tu,nipotayari kukabiliana na mavimbwanga yoyote ilimlad anipe ok
 
Last edited by a moderator:
Penda unapopendwa usipopendwa utajakufa na ch*pi mkononi! Shauri zakooo....
 
Kuna haja ya kurudisha majeshi kwa huyu mrembo, maana tangu niteme mzigo bibie amekuwa dhaifu sana, kila mtu anajaribu kurusha mawe, hadi raia wa Tegeta bwana?
Mama mkwe @mearkson hebu turudi mezani kwa ajili ya mazungumzo.
 
jaman saiv nipo kwenye mkesha JRC Ntakoment kesho! Haleluyah . . .
 
Back
Top Bottom