Namzimikia Charminglady jamani nifanyeje?

charminglady karibu tupate chakula cha bora siku ipite!..maana nikisema chakula cha mchana wakati hakina hata haz ya mlo kamili ntakuwa nadanganya,njoo tule!
 
Last edited by a moderator:
mnh kwel mkuu umechacha. Umekufa umeoza na ushavunda kwa charminglady! Ongeza vocal labda ataanza kukuelewa!
 
dah,nlikuwa cjui kumbe me ni mtambo. mtambo gan sasa, wa kukkoboa,kusaga,kuchekecha,kusukuma au upi? hee nlikuwa cjielewi ati. . . .

oooh!... Mtambo wangu charminglady wewe ni mtambo,ambao ni Fourty in one (40/1), narudia tena wewe ni mtambo tena si wakawaida.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom