Namzimikia Charminglady jamani nifanyeje?

Namzimikia Charminglady jamani nifanyeje?

madai moyo umependa!!!!!!

Ngoja nikwambie kitu kimoja ndugu yangu, charminglady akipendwa tu,anakua mbogo tena aliye jeuriwa,na hii ni kwa wajita ambao ni watamu na wanaakili sana,kama unabisha faatilia post zake zote ambazo amependwa utakuta ni mkali ile mbaya,huyo ndiye charminglady
 
Last edited by a moderator:
we unaempenda charminglady una sura nzuri ww? Ucje ukawa unamsumbua dada wa watu waukwel hlf we mwenyewe ni kimeo....
 
Ngoja nikwambie kitu kimoja ndugu yangu, charminglady akipendwa tu,anakua mbogo tena aliye jeuriwa,na hii ni kwa wajita ambao ni watamu na wanaakili sana,kama unabisha faatilia post zake zote ambazo amependwa utakuta ni mkali ile mbaya,huyo ndiye charminglady

asante kwa utambulisho. . . endeleaaaaaaa!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
ye anakaa wapi na we umetumia njia gani?... pita sam nujoma then katiza super star atakua anakusubiri hapo

teh teh teh, umenchekesha mie. tatzo lake apenda njia za mkatiko aaha sory typing error. . njia za mkato. me nimemwambia aje kanisan kwetu amwone baba mchungaji hataki sa me nimfanyeje ??????
 
kama hataki kuja kanisani basi hakupendi huyo..... tupa kule
 
Ningekuwa nauwezo ningekunywa hata pombe ya banana nipunguze mawazo.maana usiku silali mchana hapatoshi kwa jinsi ninavyomzimikia mlimbwende huyu.nimetongoza weeee lakn ndo kwanza anazidi kutia pamba maskion.nimejaribu ni msahau imeshindikana,yaani mpaka napata wazimu.hiv hapa nina zawadi zake kibao natafuta mwanachit chat mmama wa makam ampeleke na ujumbe wa kutoka kinywa changu labda anaweza nipokea moyoni mwake.ikishindikana bas najipeleka mabwepande nikaji tiss mwenyewe

Angalia sasa huyu mdada kakimbia JF! So tafuta mwingine wa kumzimikia.
 
we ndo umesababisha shoga angu anataka jitoa jf mumuache kwanza wengne hawapend jamaniiii
 
Back
Top Bottom