matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,224
- 3,958
Ningekuwa nauwezo ningekunywa hata pombe ya banana nipunguze mawazo.maana usiku silali mchana hapatoshi kwa jinsi ninavyomzimikia mlimbwende huyu.nimetongoza weeee lakn ndo kwanza anazidi kutia pamba maskion.nimejaribu ni msahau imeshindikana,yaani mpaka napata wazimu.hiv hapa nina zawadi zake kibao natafuta mwanachit chat mmama wa makam ampeleke na ujumbe wa kutoka kinywa changu labda anaweza nipokea moyoni mwake.ikishindikana bas najipeleka mabwepande nikaji tiss mwenyewe
tembeza pesa mkali nani..hakuna demu wa kupindua mbele ya kisu.