Namzimikia Charminglady jamani nifanyeje?

Namzimikia Charminglady jamani nifanyeje?

mmmmmh,mchakachuo square mbna hakuna saini ya mchungaji na muhur wa kanisa??????? hebu rudi tena kwa mchungaji na km umeghushi imekula kwako mazimaaaaa . . .
 
Charminnglady mwonee huruma mwenzio,mbona unampa mitihani kama vile anatafuta kazi?... Pole wakati ndio sasa
 
Last edited by a moderator:
Charminnglady mwonee huruma mwenzio,mbona unampa mitihani kama vile anatafuta kazi?... Pole wakati ndio sasa

Kaka mchungaji hajanipa go ahead..... namuomba wakati ndio sasa amfisadi mchungaji ape ruksa... but me nampendaga naniliu dats y nipo church kila siku kenye mkesha nikimuombea aweze kufunga pingu na mie lol!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Yaaaalah!!!!!!!

Hata hivyo mie niseme hongera!
Kanyota kako kanauza!
Yaani full-mauzo!
Sasa jitie mashauzi ukaacha kusanjarika na nyota ikiwa bado ina demand kunako soko!
Mauzo huja na kutoweka!
Nata na bit !
Nenda na move!
 
Usije ukakumbuka shuka majirani wana miswaki midomoni .
 
umeona eeh!
 
mwe waishie hapa hapa,tena wasitaman kunifahamu make watajuuta kunifahamu. Judgement
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom