Jamani mimi namzimia sana mume wa jirani yangu na nimefanya kila vitimbi lakini wapi nashindwa kumtia mtegoni. Madada wenzangu naombeni mbinu zaidi.
Jamani mimi namzimia sana mume wa jirani yangu na nimefanya kila vitimbi lakini wapi nashindwa kumtia mtegoni. Madada wenzangu naombeni mbinu zaidi.
Namtaka kimapenzi
Akina mama mna visa nyie, loh!
mcheki mama gaude wangu akupe mbinu za medani...mambo madogo hayo akina michelle watakuyeyusha tu hapa
Kuwa mwangalifu!inawezekana jamaa akawa mpenzi mkubwa tigo!!!Jamani mimi namzimia sana mume wa jirani yangu na nimefanya kila vitimbi lakini wapi nashindwa kumtia mtegoni. Madada wenzangu naombeni mbinu zaidi.
My dear,naona umedhamiria,kama umefanya kila kitu haja respond,mpotezee,si kwamba hakuoni bali hakuhitaji,unajichoresha tu kwa tamaa ambazo una uwezo wa kuzizuia hata ukifanya bidii kidogo.....yaani mbele ya macho yake anakuona pepo fulani hivi linalotaka kumuharibia maisha yake.....mwanaume angekuwa anakutaka mbona tayari mngekuwa mbali? mtafute wa peke yako acha kuendekeza tamaa kwa wanaume wa wenzio waliotunzwa vizuri,tafuta wako mtengeneze vizuri.....you deserve your own man.....acha desperation,unaonekana kituko........
Lakini pia waweza muuliza mkewe alimpataje kama ukiona huwezi kabisa!!!! :laugh::laugh::laugh: