Not enough una matatizo usije ukafikiri sijui kuwa unamzengea mume wangu. In fact mume wangu pia anajua kuwa unamzengea na tulishakubandika jina siku nyingi, huwa tunakuona kama kituko tu.
Tulia na uliyenaye kabla hatujamtumia ushahidi wa mkandahalisi ukose vyote.
..........ujumbe umekufikia nadhani tulia mwanamke.
Jamani mimi namzimia sana mume wa jirani yangu na nimefanya kila vitimbi lakini wapi nashindwa kumtia mtegoni. Madada wenzangu naombeni mbinu zaidi.
mie sipingi wewe kumpenda huyo mume wa mtu,because pete ya ndoa hakumfanyi more or less of a person anabaki kuwa MTU ambaye mtu mwingine yeyote anawaweza fall in love naye,ila ninachopinga ni wewe bidada kototafuta ustaarabu mwingine baada ya kuona hapo hutakiwi!!! huoni unakuwa kero sasa? kama ni wanaume wamejaa kibao,na kama taste yako ni wanaume za watu wamejaa kibao nao! acha kuwa kero!!!!
Pauline nakutafuta.....
na kama taste yako ni wanaume za watu wamejaa kibao nao! acha kuwa kero!!!!
:mwaaah::mwaaah: will you be my valentine baby? I am longing for u....:A S-rose::A S-rose:i am here baby....:twitch::hug::hug:
Namtaka kimapenzi
Jamani mimi namzimia sana mume wa jirani yangu na nimefanya kila vitimbi lakini wapi nashindwa kumtia mtegoni. Madada wenzangu naombeni mbinu zaidi.
Kama hajamkamata akiwa na nguo inawezekana hata hiyo kanga moja isimvutie!mvalie kanga moja bila chup*
Jamani mimi namzimia sana mume wa jirani yangu na nimefanya kila vitimbi lakini wapi nashindwa kumtia mtegoni. Madada wenzangu naombeni mbinu zaidi.