Namzimia mume wa jirani

Namzimia mume wa jirani

Aise tusaidieni, watu wengine wameumbwa kuvuruga ndoa za watu. Vijana kibao hawajaoa kazi kutoa macho kwa waume za watu
Kama mtaani kwake hawaoni
Hata humu anaweza kupata walio singo.
 
Amemtamani jamani, hajampenda . Si vitu tofauti hivi?
 
Jamani mimi namzimia sana mume wa jirani yangu na nimefanya kila vitimbi lakini wapi nashindwa kumtia mtegoni. Madada wenzangu naombeni mbinu zaidi.

Kwanza tuwe na uhakika kuwa hoja zako tumezielewa:

1. Unamzimia kwa maana ipi hasa? Kingono au Kimwonekano au Kimaendeleo? nk

2. Ni vitimbi vipi ulivyovifanya na lengo la vitimbi ilikuwa ni nini?

3. Kumtia mtegoni kwa maana ipi hasa?

4. Mbinu unayohitaji usaidiwe hasa ni ipi?
 
Nyie andikeni tu hapa weeee mwenzenu kaja humu tafuta bwana na hapa usikute washa mp kibao.Yaani raha ya jf bwana magreat thinker wapo hadi wakuchakachua waume za watu sema tu huwa wanaona aibu kujianika hadharani. hivi wewe dada unakaa wapi jamani please usiniibie wangu
 
Duh! je ingekuwa the other way round alafu ukagundua jirani yako anakuibia ungefanyaje? tafadhali badili mawazo yako au ni vyema ukae mbali nae.
 
..

Lakini pia waweza muuliza mkewe alimpataje kama ukiona huwezi kabisa!!!! :laugh::laugh::laugh:[/QUOTE]

HII ITAKUWA NI KAMA,PANYA ANAMFUNGA PAKA KENGELE.....INAWEZEKANA KWELI?
 
Nyie andikeni tu hapa weeee mwenzenu kaja humu tafuta bwana na hapa usikute washa mp kibao.Yaani raha ya jf bwana magreat thinker wapo hadi wakuchakachua waume za watu sema tu huwa wanaona aibu kujianika hadharani. hivi wewe dada unakaa wapi jamani please usiniibie wangu
Huyo wa kwako yupo humu jf??
 
Majina mengi noma.... eti NOT ENOUGH.

Yes you will never get satisfied...

Kumbe baada ya kunifanya vituko unakuja kulalama JF. Ushindwe na ulegee.

Waliopo single mbona wako wengi wafuate.

Mwombe Mungu atakuonyesha wa kwako.
 
Not enough una matatizo usije ukafikiri sijui kuwa unamzengea mume wangu. In fact mume wangu pia anajua kuwa unamzengea na tulishakubandika jina siku nyingi, huwa tunakuona kama kituko tu.
Tulia na uliyenaye kabla hatujamtumia ushahidi wa mkandahalisi ukose vyote.
..........ujumbe umekufikia nadhani tulia mwanamke.
 
Hahahahahahahaha BiMkubwa umenichekesha kweli LOL! Mwangalie sana huyo au unaweza kuachwa kwenye mataa hahahahahahah Mtaka vyote...... Habari za masiku? Miye poa kabisa.
 
Back
Top Bottom